Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

Wewe ulitaka vitu vibaki bei zile zile miaka yote wewe utakuwa manjegeka
Haiwezi kuwa constant lakini bei kupanda kila siku hata bei kwenye soko la dunia inashuka hii haisaidii mwananchi, pindi bei uya mafuta soko la dunia yalishuka lakini bei ilikuwa juu, sema hatuna viongozi wenye nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi, manjegeka wewe ndumilakuwili

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Nilichofurahia ni Michango mashuleni kurejea pale pale maana kama huongezi mishahara afu unazuia michango? kha! ila Tanzania tushakuwa urojo
 
Wewe ndio wa hovyo kabisa!

Magu alikuata mafuta yanauzwa kati ya 1900 hadi 2100 na alimaintain bei isivuke 2200 kwa muda wake wa miaka yote 5

Hiyo bei yako ya 1200 ni ya Mkapa!

Ni suala la muda tu tutaelewana tu
Duh sijawahi na sintokuja kuamini huu utawala maana sio uongozi wa jamaa ulikuwa na malengo ya kumsaidia mwananchi

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu nilisikia watu wakisema huu ndio wakati wa kupiga parefu mana hatujui ajar atakuwaje!! Watu wamejifunza kupitia JPM ivo panapo upenyo wanaona bora kupiga Na ku accumulate enough!! Bi mkubwa naona Ana nata Na beats za activists tu
Nchi haiendeshwi kwa kumfurahisha kila mtu
 
Nchi hii hatutakaa tupate maendeleo chini ya tawala zinazofanya biashara

Unategemea nini kwa mpanga bei ya Mafuta ndiye mfanyabiashara ya mafuta.

Leo nimesikitika sana kuona dar es salaam mafuta 2400 Je mikoa ya Songwe, Katavi,Rukwa na Kigoma Bei itakuwaje?

Maajabu ni kuwa Zambia mafuta bei rahisi wakati mafuta yao yanapita hapa na wanatulipa kodi

Haya ni maajabu ya Dunia!.
Rukwa petrol 2548,hatari Sana
 
Umefuatilia bunge liloisha jana?au unajiropokea tuu.Kwenye mafuta kuna tozo zimeongeka kwa zaidi ya shilingi 130.Sasa unategemea bei iwe sawa? muwe mnasoma kabla ya kuposti vitu
 
Hawa jamaa ni takataka kweli, yaani unafikiria bandari tunazo lakini wanashusha mzigo wa mafuta unaenda na nchi jirani lakini kwetu bei juu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Tatizo watawala kwa kila kitu wanachotaka kukitekeleza wanafikiria kwanza mafuta ,hawataki kabisa kutumia kichwa kupata vyanzo vya mapato matokeo yake mafuta yanakuwa na makodi mengin na matozo kibao
 
Lawama kwa mwigulu kiongeza kodi kwenye mafuta na kupunguza kodi ya kubeti na pombe
Mkuu sio hiyo tu kodi iliyongezwa 100 ,tatioz mafuta yetu wamekuwa na mlolongo wa matozo mengi sana yaan kila mtawala akitaka kufanya kitu chake wala haumizi kichwa yeye anakimbilia tu Kwenye mafuta matokeo yake mafuta yanakuwa na makodi kibao
 
Back
Top Bottom