Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wanaweza[emoji23][emoji23]Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Wameshindwa kukusanya kodi hawana pesa kwa hio wamekuja na ubakaji jumuishi kwa maskini huku matajiri wakipumzishwa kulipa kodi stahiki. Na Uchumi bila hio akili mbovu ya kibeberu hadi octoba TZ inaanguka. Anyway naishia hapaUlichoandika hapa Mkuu Boss ni sababu tosha ya kumkabili Maza na kupinga bajeti yake ambayo ina kodi kubwa sana kwa walipa kodi. Kama nchi zote zinanunua Petroli kutoka soko lile lile la iweje bei ya petroli nchini iwe kubwa sana kuliko nchi nyngine?
Cartel ndiyo hao hao CCM wenyewe akiwamo mwenyekiti wake. They bloody well know what they're doing.Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
For comparison, the average price of gasoline in the world for this period is 166.46 Kenyan Shilling.Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
| Kenya Gasoline prices | Liter | Gallon |
|---|---|---|
| KES | 129.130 | 488.810 |
| USD | 1.198 | 4.535 |
| EUR | 1.006 | 3.808 |
| Tanzania Gasoline prices | Liter | Gallon |
|---|---|---|
| TZS | 2,249.000 | 8,513.387 |
| USD | 0.970 | 3.672 |
| EUR | 0.814 | 3.081 |
Kwa maana hiyo umekiri kua Kama JPM angekua bado madarakani tusingefika hapa tunapoelekea!!?Kwa maoni yangu Mkuu Boss maza hajiamini hivyo wahuni ndani ya Serikali wamegundua hilo sasa wanamburuza tu watakavyo na yeye kwa kutaka kujionyesha anatoa ushirikiano basi ANADEMKA tu. Akiendelea hivi bila kuwa makini watapitisha vitu vya ajabu ajabu sana kwake kwa faida ya hao wahuni ndani ya Serikali na maccm. Ingekuwa vizuri awe na mtu kama CAG Assad ambaye anazijua namba kwa kina na athari zake kwa Taifa kwa namna moja au nyingine na pia atauliza maswali muafaka kabla hajamruhusu maza atie wino, vinginevyo itakula kwake.
Kwa maana hiyo umekiri kua Kama JPM angekua bado madarakani tusingefika hapa tunapoelekea!!?
Kama hii ni kweli basi tusitegemee mafuta kushuka bei.Sasa Kikwete wakati prince mmiliki wa lake oil!
You seem to have the same feathers with a little bit of some structural adjustment.Birds 🦅 of the same feathers 🪶………
You seem to have the same feathers with a little bit of some structural adjustment.
You just need to denounce the Northern Gang and be a patriot.
At that point you 'shall' have freed your soul for you to live your true-self.
Kwani tuliwahi kufika pazuri?? Atleast nchi inafunguka na watu wana amani.Kwa maana hiyo umekiri kua Kama JPM angekua bado madarakani tusingefika hapa tunapoelekea!!?
Taratibu wanaanza kummisi uwepo wa jpmKuna watu wamekariri chorus ngoja waje utaitwa push gang sijui mataga!!! Mambo kibao yasharudi square zero.
Nchi imefunguliwa, eti deep state wanataka hata elimu ipande bei loh!! Dunia Ina maajabu
Na ndio maana Wakenya walifurahi sana mama aliposhika nchi, wanajua uwekezaji wao huku umetikiKwa maoni yangu Mkuu Boss maza hajiamini hivyo wahuni ndani ya Serikali wamegundua hilo sasa wanamburuza tu watakavyo na yeye kwa kutaka kujionyesha anatoa ushirikiano basi ANADEMKA tu. Akiendelea hivi bila kuwa makini watapitisha vitu vya ajabu ajabu sana kwake kwa faida ya hao wahuni ndani ya Serikali na maccm. Ingekuwa vizuri awe na mtu kama CAG Assad ambaye anazijua namba kwa kina na athari zake kwa Taifa kwa namna moja au nyingine na pia atauliza maswali muafaka kabla hajamruhusu maza atie wino, vinginevyo itakula kwake.
Kweli kabisaUnapingaje kitu ambacho kimeshapitishwa bungeni?
Wakati Mwiguli anasoma bajeti pale bungeni nyie mlikuwa busy kusaini petition ili Diamond atolewe kwenye tuzo za BET,!
Sikia! Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya nchi uzi wake hapa ulikuwa na coments 90, uzi wa Sabaya ulikuwa na coments elfu 1 na ule wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za BET ulikuwa na coments 800
Sisi ni [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Bei ya Petroli kwa lita