So activist ndo wamemshauri apandishe bei ya petrol?Kuna sehemu nilisikia watu wakisema huu ndio wakati wa kupiga parefu mana hatujui ajar atakuwaje!! Watu wamejifunza kupitia JPM ivo panapo upenyo wanaona bora kupiga Na ku accumulate enough!! Bi mkubwa naona Ana nata Na beats za activists tu
Nchi haiendeshwi kwa kumfurahisha kila mtu
Bado mbolea inapanda kila kukicha kama mtu anaongeza sauti ya radioBei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Mkuu mwaka jana covid imeshika kasi mafuta pipa moja ilikua ni bure/negative price lakini Tanzania lita moja ilikua 1700 na ushee. Yaani Tanzania hakuna tofauti kubwa sana pale mafuta yakishuka bei na kua negative ama zero na bei ambayo mafuta yako juu.Hapa ukiangalia siyo cartel ya wauza mafuta bali ni utitiri mkubwa wa kodi katika bidhaa ya mafuta. Mfano, mwezi huu pekee, CIF ya petroli ni TZS 1,216 hivi. Baada ya hapo kuna kodi baada ya kodi hadi imefika TZS 2,405
lita kwa Dar es Salaam kwa petroli pekee. Na ukisoma ukurasa wa nane wa tangazo la EWURA utaona utitori wa kodi hizo. Utakuta hata faida kwa wauza mafuta wamewekewa,mfano petroli ni kama shs 128 kwa lita. Sasa ukichukua bei ya rejareja kwa DSM utoe na CIF na faida kwa whole sellers na retailers inayobakia ni kodi na tozo mbalimbali.
Miaka ya nyuma serikali ilikuwa na kawaida ya kila budget kupandisha ushuru kwenye vinywaji hasa vileo na soda, sasa imeanzisha huu utaratibu kwenye bidhaa za mafuta. Ndiyo maana utaona hata enzi za Magufuli, petroli haijaweza kuwa chini kuliko inavyokuwa nchi jirani ambazo zinapitisha mafuta hapa kwetu.
Shida kubwa ya watoza kodi wetu siyo kupanua wigo mkubwa wa walipa kodi ikiwa ile stamilivu, ni kutoza kodi kubwa kwenye bidhaa zile zile bila kujali kuwa anayeumia ni mlaji wa mwisho.
Familia ya Kikwete inahusishwa na umiliki wa kampuni kubwa ya mafuta na Kikwete inasemekana ndiye mshauri mkuu wa mama! Unganisha...Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Usiwe juha,hizo nchi jirani hawajaweka kodi mbalimbali kwenye mafuta yao,hapa Bongo kuna ewura,Tarura,road fund nk kwa hiyo bei haziwwzi linganaBei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Tulieni dawa iwaingie kunakoNchi hii ni shida!
Yaani mshenzi yule aluyeharibu uchumi kwa miaka 5 hakuna cha kuonesha, yaani unaanza humalizi unatafuta justification ya kubadili Katiba Ili uendelee kuwa dikteta..nikajua mnakuja na hoja ya uchumi kuharibiwa,miradi kusimama kumbe unaongelea bei ya mafuta?Halafu mtu anajinasibu eti yeye Ni kama Magufuli tusiwe na wasiwasi! Na sisi wananchi tunaitikia Kwa Chorus: "Mama ameanza vizuri na amerudisha Furaha"! Hivi kauli zingine huwa tunatafakari au zinatutoka tu kama udenda wa mtoto mchanga?
Pumbavu wewe lini hiyo mafuta yalikuwa 1200!!?? Subiri mpaka 2025 yatafika 3000Hovyo tu, alikuta mafuta shilingi elfu 1200 tu ikapaa mpaka 2200 kwa lita, saruji juu, mabati juu, mafuta ya kula juu
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Mmh! Makubwa, hata wewe kipenzi mama tuvushe umeshamgeuka!?Kwa maoni yangu Mkuu Boss maza hajiamini hivyo wahuni ndani ya Serikali wamegundua hilo sasa wanamburuza tu watakavyo na yeye kwa kutaka kujionyesha anatoa ushirikiano basi ANADEMKA tu. Akiendelea hivi bila kuwa makini watapitisha vitu vya ajabu ajabu sana kwake kwa faida ya hao wahuni ndani ya Serikali na maccm. Ingekuwa vizuri awe na mtu kama CAG Assad ambaye anazijua namba kwa kina na athari zake kwa Taifa kwa namna moja au nyingine na pia atauliza maswali muafaka kabla hajamruhusu maza atie wino, vinginevyo itakula kwake.
Kwamba sh.100 alivyosema Mwigulu itaongezeka ndio imefikisha bei ya mafuta huko au? Kumbukeni mafuta yanaagizwa na Serikali Kwa njia ya bulk sasa waulizwe waagizaji ndio wenye majibuSemeni ni tatizo kwa uwazi. Tatizo ni Mwigulu.
Unaulizia nauli kupanda hio bei hata madereva wa daladala ndio kwanza wameijua jana🤣🤣🤣 wacha uone kama mwezi huu utafika nusu bila nauli kufika sh. 600 na mwendokasi 1000Yaani mshenzi yule aluyeharibu uchumi kwa miaka 5 hakuna cha kuonesha, yaani unaanza humalizi unatafuta justification ya kubadili Katiba Ili uendelee kuwa dikteta..nikajua mnakuja na hoja ya uchumi kuharibiwa,miradi kusimama kumbe unaongelea bei ya mafuta?
Unadhani kila mtu atajenga vituo vya afya 400 kwa miaka 5? Maza anaenda kuwaabisha nyie mataga na kufuta legacy, kwani bei ikiwa kubwa na tija ikaonekana kuna shida gani? Mbona nauli hazijapanda?
Msenge nn, unamamlaka gani ya kunitukanaPumbavu wewe lini hiyo mafuta yalikuwa 1200!!?? Subiri mpaka 2025 yatafika 3000
Mmh! Makubwa, hata wewe kipenzi mama tuvushe umeshamgeuka!?
Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Lawama kwa mwigulu kiongeza kodi kwenye mafuta na kupunguza kodi ya kubeti na pombe
The problem watu huwa wana-comment bila kufanya utafiti, au bila kufuatilia comments zingine!!!Huyo asikudanganye. Bei ya mafuta kupanda au kushuka hutangazwa tarehe 14 ya kila mwezi. Sasa hio Kenya ambayo bei imepanda leo tarehe mosi Julai ni Kenya gani hio? Mpotezee tu huyo.
Cc Chige
Kuna watu kawarudisha serikalini na wameamua kurudi kwenye mazoea yaoBei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Nitarudia, kwa hili Mama tunambebesha msalaba ambao sio wa kwake, kwa sababu, yeye or anyone else hana uwezo wa ku-control bei ya mafuta! Fuatilien, bei ya mafuta imepanda soko la dunia!!Kuongeza bei ya wese hapa mama kazingua sana. Hili niliona wakati mwigulu anapewa uwaziri wa fedha jamaa hana uwezo hii nafasi inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa na masuala ya uchumi, hii nafasi mpango ndo aliiweza, mpango kama amefichwa [emoji119].