Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

hawa huo uwezo wa kongoza nchi,
 
Ukipandisha wese tu, automatically umeruhusu “inflation” kwenye kila kitu maana items zote watadai zinasafirishwa barabarani. Matokeo yake mlaji mnyonge wa mwisho kabisa ndio anaathirika pakubwa

Kwa Samia tumepigwa!
kama unakunywa balimi agiza nakuja lipia. GREAT POINT
 
Hii bei kuwa tofauti siyo leo tu, toka kipindi cha nyuma bei za Malawi, Zambia, Rwanda ni ndogo, tofauti na Tanzania tatzo siyo rais aliyeko madarakani tatizo ni sera/kanuni zinazosimamia ishu ya mafuta
 
Kabisa mkuu, me now nafanya dili lolote mbele yangu, mpaka bangi nafuata huko milimani morogoro, mbona now wanapoozeka wazee. Cha msingi tu kutengeneza connection.
UKITIWA MKONONI UTASHITAKIWA KWA SHERIA ZA UHUJUMU UCHUMI, FANYA HIYO BUSINESS LAKINI KUWA MAKINI.
 
Mbona mafuta ya kula yalipanda kutoka 2500 kwa lita mpaka 4500 na hakufanywa kitu?
 
Mabeapari ni watu wenye nguvu sana,ila nina imani na Raisi wetu anaweza kuliona hili...
 
WEWE DADA MUONGO HALAFU KILAZA. NI WAPI HUKO MAFUTA YALIUZWA TSH 1200? ZA KUAMBIWA UNACHANGANYA NA ZAKO. Hapa umeonesha ukilaza wa hali ya juu sana.

Hovyo tu, alikuta mafuta shilingi elfu 1200 tu ikapaa mpaka 2200 kwa lita, saruji juu, mabati juu, mafuta ya kula juu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Hovyo tu, alikuta mafuta shilingi elfu 1200 tu ikapaa mpaka 2200 kwa lita, saruji juu, mabati juu, mafuta ya kula juu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Nashauri zipande mara 10 ili mataga na mwenda zake wakione cha moto!
Je wana-wenye Nchi wataandamana?! au wataendelea kuumizwa tu, Viongozi wa juu wa serikali pamoja na matajiri wakubwa hawawezi kuumizwa sana na hili swala, nimeanza kuamini ule usemi wa "kila leo ni afadhali ya jana"

Kazi iendelee, ndo wanavyosema watanganyika
 
Watu hawampi Magu sifa za bure sema wewe ndo hutaki Magu watu wamsifie, Pamoja na Mapungufi yake kama binadamu Magu alikuwa hana ujinga ujinga serkalini. Na watu wengi kama wewe mnapenda ujinga ujinga ndo maana unaona Magu hastahili sifa.
 
Mama aliona nyumbu wanamshangilia akajua kila mtu anafurahi. Ukiona mtu anatafuta kupendwa na kila mtu ujue ni mnafiki na hana maana.
 
Kenya waliwahi kupandisha mafuta kabla ya sisi ninadhani.
Pia Bei inapanda katika soko la dunia. Saivi pops ni $75
 
Wewe unakula na kuamka kwa shemeji alioolewa dadako!

Acha wanaojua wachangie hii mada
 
Watu hawampi Magu sifa za bure sema wewe ndo hutaki Magu watu wamsifie, Pamoja na Mapungufi yake kama binadamu Magu alikuwa hana ujinga ujinga serkalini. Na watu wengi kama wewe mnapenda ujinga ujinga ndo maana unaona Magu hastahili sifa.
Kwanza jiulize wale waliokuwa wanaiba mafuta pale kigamboni wamechukuliwa hatua gani?

Enzi za Magu hata ile nyumba ingebomolewa!

Huyu Maza anafikiri watz ni waaminifu sana kama alovyo yeye? Ngoja wamuoneshe
 
Wewe unakula na kuamka kwa shemeji alioolewa dadako!

Acha wanaojua wachangie hii mada
Niko huku toka 2014 na hii ni ID yangu ya 3,,kwa hiyo miaka yote hiyo nakula kwa dada? Au wewe unaniona jukwaa hili tuu?

Ni hivi hii nchi mumejaa watu walalamishi,hamjielewi na Kazi hamtaki kufanya ila maendeleo au vizuri mnavitaka.Hakuna maendeleo bila kodi na kodi ndio hizo zimewekwa Ili mpate kinachostahili,kulalamika na kulaumi ni kadi yenu ndio maana hakuna atakayewasikiliza.

Mwigulu alisema anawaoneob huruma sana watanzania hasa nyie walalamishi lakini akasema anawaonea huruma zaidi wanaokosa maji na kujifungulia njiani kwa kukosa barabara na huduma za afya kuwa mbali.

Ukitaka ulalamishi na kulaumu endelea ni uwekezaji wako ulioamua.
 
bei ya mwaka gani mkuu hii.,
Nairobi Super Ksh 127.14 sawa na 2,730Tzs

sehemu zingine wanauza hadi Ksh 140
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…