Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
IMG-20221221-WA0012.jpg
 
Lucas mwashambwa, tumeshinda nini iwapo familia 12 zinaiburuza nchi kadiri zitakavyo?
Makamu wa Rais alipewa majina naamini atayafanyia kazi kwa kutafuta ukweli kwa kushirikiana na wasaidizi wake pamoja na vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama ili kubaini ukweli kwa ushahidi wa kinyaraka ndipo hatua zitakapochukuliwa, watanzania tuna Imani kubwa Sana na Serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa mama samia
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2461672
Rais wetu Ni mkweli muda wote kasena wazi kuwa Bado tunao uwezo wa kulipa madeni Tuliyokopa,Na bado tutakopa ili kujenga Taifa letu kupitia miradi mbalimbali ya kimkakati maana hata mataifa ya ulaya baada ya Vita ya pili ya Dunia yalikopa Sana tu ili kujenga uchumi wake uliokuwa umeharibika,Kikubwa ni kuwa unapokopa lazima uwekeze katika miradi yenye Tija kwa watanzania,lakini pia kuchukua mkopo wenye mashariti nafuu yasiyohatarisha usalama wetu Kama Taifa na Uhuru wetu
 
Ndugu Zangu,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu.

Rais Samia na serikali yake ameipigana kwa uhodari,ujasiri na ushupavu mkubwa Sana Vita ya kuliletea Maendeleo Taifa letu,Amekuwa Ni Askari mzalendo na mvumilivu katika mapambano haya ya kulipa heshima Taifa letu kiuchumi,Amekuwa mstari wa mbele katika kujenga uchumi shirikishi unamgusa na kumnufaisha kila mmoja wetu pasipo kumwacha mtanzania yeyote nyuma.

Rais Samia Na serikali yake ameweka Alama katika kila Secta utakayo kwenda unakuta kazi kubwa imefanyika,unakuta Rais Samia ameirejesha Kodi na Tozo za mtanzania zikafanye kazi za kugusa maisha ya watanzania,kwa kutatua kero na changamoto zinazokuwa zinawakwamisha watanzania katika maisha yao ya kila siku pamoja na kujenga miradi mbalimbali inayomnufaisha mtanzania,

Rais Samia amemshika mkono kila mtanzania aliyehitaji kushikwa mkono na serikali yake,Rais Samia amezibeba secta zote na kuzipa umuhimu wa kipekee kwa kutambua kuwa watanzania wapo kila secta na hivyo kupuuza secta yoyote ni sawa na kuwapuuza watanzania na hivyo kuwadidimiza na kuwadhoofisha kiuchumi watanzania.

Kila mtanzania amefikiwa na kuguswa na juhudi za mh Rais,kila eneo limeguswa na kubebwa katika mikono na mabega ya mh Rais,kila sehemu kumefikiwa na kutazamwa na jicho la mh Rais ,kila mahali kumepitiwa na kupewa ufumbuzi,kila Kona ni matumaini kwa kesho iliyo Bora Zaidi ya leo.

Watanzania wamesikilizwa na kusaidiwa mahali walipo na wanapofanyia kazi na kuishi, watanzania wamepewa sikio la Rais kuwasikiliza na kuwapa majibu, Rais Samia Amezunguka Kanda zote na kutoa majibu kwa changamoto zinazotukabili,ametoa usuluhishi kwa migogoro, Amatufikisha hapa kwa Amani na utulivu.

Watanzania Tumeshinda kwa kufika hapa tukiwa wamoja na wenye ushirikiano,Tumeungana na serikali yetu na kusimama nayo katika nyakati zote,Tumempa ushirikiano na kumuunga mkono Rais wetu wakati wote alipotuhitaji kufanya Hivyo,Umoja wa kitaifa umekuwa mkubwa na wenye Afya kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Taifa letu,Hatujatoa Nafasi kwa Adui yeyote aliyejaribu kutugawa na kutuchonganisha, Tumekuwa wavumilivu katika changamoto zote tulizozipitia Kama Taifa kwa kutambua na kuona juhudi kubwa zilizofanywa na Rais wetu mpendwa pamoja na serikali yake,

Ni matumaini yangu kuwa umoja huu tulioujenga Sasa tutaingia nao mwaka mpya na Kuendelea na kazi ya kulijenga Taifa letu litakalokuwa Bora Zaid ya hapa tulipo hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Tumejaliwa na Mwenyezi MUNGU kuwa na Rasilimali nyingi ambazo zinatutaka kutumia akili na maarifa katika kuzitumia ili zisibadilike na kuwa Kama laana kwetu kwa kutuacha tukiwa maskini na fukara katikati ya utajiri wa Asili.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Wewe ni chawa mkuu humu jf, kilasiktni kusifia Samia utafikiri sisi wengine hatuna mcho. Rubbish
 
Kwa huo uchawa unaweza weka rehani hata kalio ili upate uteuzi
 
Kashinda nini???

Na wewe umeshindwa nini???
 
Kashinda nini???

Na wewe umeshindwa nini???
Kashinda katika Vita ya kuliletea Maendeleo Taifa letu na kuwaunganisha na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe katika adhima nzima ya kukuletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi na kuondokana na Hali ya umaskini
 
Aisee wewe sijui kaka, sijui baba umeamua kuwa chawa wa Mwanamke kabisa. Lima huko, teuzi za uchawa utaandika mabandiko 100,000 labda utafikiriwa kuwa katibu kata huko.
Huenda mwakani na yeye akakumbukwa kwenye uteuzi..😂😂
 
Mimi Ni mkulima Tayari,jembe langu ndio kalamu yangu,shamba langu ndio ofisi yangu,Na mabega yangu ndio begi langu, kwa hiyo usifikiri kuwa Mimi Sina kazi ya kufanya
Kwahiyo umechoka kulima, ukaona njia rahisi ni kila ukiamka ni kumsifia Raisi na kuweka namba ya simu, ili upate uteuzi?
Je unaona nafasi gani inakufaa? Unataka kwenye Chama cha mambuzi au Jamuhuri kabisa? Ili upumzike na hizi hekaheka, yaani hadi nakuonea huruma. Uko Sumbawanga?
 
Nimeridhika na kazi yangu ya ukulima na ninaifaya kwa moyo wote maana Ni kazi ya heshima Inayosaidia kuliweka Taifa letu katika Hali ya utulivu na Amani na kuweza kutawalika,maana huwezi ukamuongoza mtu mwenye njaa na Wala huwezi ukasikilizwa na kueleweka mbele ya mtu mwenye njaa ya chakula
 
Kashinda katika Vita ya kuliletea Maendeleo Taifa letu na kuwaunganisha na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe katika adhima nzima ya kukuletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi na kuondokana na Hali ya umaskini
Magufuri hakushinda hivyo vita???
 
Mimi Ni mkulima hivyo suala la njaa Ni Vita nayo ipigana kwa kujishughulisha na kilimo
Sasa kama wewe ni mkulima, kwa nini umejipa mamlaka ya kutusemea Watanzania wote, wakiwemo wafanyabiashara na wafanyakazi?

Hivi una shida gani wewe? Jambo linakuhusu wewe, unawachanganya na watu wengine! Hivi uko vizuri kweli upstairs?
 
Tanzania Ni moja na wote Tunashirikiana kwa pamoja katika maisha yetu ya kila siku,hata hivyo Tambua kuwa kilimo Ni Biashara unaweza ukawa Ni mkulima na hapo hapo ukawa mfanya biashara ya mazao kwa kusafirisha kutoka mikoani Hadi Dar. Pia sielewi unepata wapi mamlaka ya kupinga na kuwakatalia watanzania wengi wakiwemo wafanyabiashara walioridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais? Lini walikuja kwako wakasema hawaridhishwi na utendaji kazi wa serikali? Katika maeneo yapi walikwambia hawatendewi haki? Kwani wewe huoni namna makundi mbalimbali yanavyofanya kazi kwa amani pasipo kudidimizwa kwa aina yoyote Ile? Kazi ya serikali Ni kuweka mazingira mazuri kwa wananchi wake kujikwamua kiuchumi na kupiga hatua za kimaendeleo. Niambie Ni wapi ambapo serikali yetu inayoongozwa na mama yetu imeweka mazingira magumu kwa mwananchi kustawi kiuchumi? Huoni serikali ikifanya juhudi kubwa kila uchwao kuhakikisha mwananchi anakua na kuwezeshwa
 
Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi wa kukopa na kuongeza deni la taifa kwa kasi ya ajabu

Kazi ya kukopa iendelee
 
Back
Top Bottom