PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa kutetea ,kupigania na kulinda Taifa letu kwa gharama zozote zile ziwazo na kwa wivu mkubwa sana.

Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele na kujivunia Uhodari ,uimara ,umadhubuti , ushupavu na umaridadi wa Rais wetu kipenzi katika kulilinda Taifa letu. Tuna kila sababu ya kulala majumbani mwetu bila wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile kwa kuwa tunaye Amiri Jeshi Mkuu Madhubuti kwelikweliiiiiii.

Maadui Zetu walikodoa macho yao kusubiri kwa hamu kubwa sana kama ya fisi kutaka kutazama na kuona Tanzania ikiteketea kwa moto na kuangamia katika majivu mazito. Lakini Watanzania na Tanzania tumewapa ujumbe mzito sana kuwa sisi ni Taifa Imara ,sisi ni wajukuu wa Nyerere,sisi ni wamoja na tupo tayari kulinda amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile mpaka tone la mwisho pasipo kuchoka.

Tumewapa ujumbe maadui zetu kwamba hatuwezi kuteketeza Taifa kwa mikono yetu.tumewapa ujumbe kwamba Tanzania siyo ya kuchezewa ama kudanganywa ili kuvuruga amani yetu. Tumewapa ujumbe kuwa amani yetu ndio tunu yetu tuilindayo kwa wivu mkubwa sana .

Tumewaambia kuwa pamoja na tofauti zetu za kisiasa na mitizamo tofauti ya kisiasa ,makabila tofautitofauti zaidi ya 120 lakini linapokuja suala la amani yetu sisi ni wamoja na hatugawanywi kwa namna yoyote ile wala kudanganywa kwa pesa ya aina yoyote ile na wala Amani yetu haina bei sokoni na hatuuzi Amani yetu.

Imekuwa ni siku ngumu sana kwa maadui ,mabeberu na vibaraka wao. Kwa kuwa wamevuna aibu kubwa sana dhidi ya dua zao chafu na mipango yao.matarajio yao yamekwenda tafauti na hawaamini macho yao. Walijiandaa kwa matamko mbalimbali lakini wameshindwa vibaya sana na watanzania tumeibuka washindi. Sote ni washindi na sote tumeshinda chini ya uongozi thabiti na imara wa Rais wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Tutakabiliana na kupambana na yeyote yule atakaye jaribu kuvuruga amani ya Taifa letu.tutamdhibiti yeyote atakaye jaribu kuleta machafuko hapa Nchini. Kwa nguvu kubwa bila huruma tutajibu mapigo yoyote yale yenye lengo la kuharibu Amani yetu. Hongereni sana watanzania,Hongera sana Mama yetu Mpendwa Mama Samia kwa uhodari wako wa kutuunganisha watanzania kulinda Taifa letu.

Watanzania wamemuunga Mkono Rais wetu na kukubali kusimama naye kulinda Amani ya Taifa letu. Hiki ni kipimo tosha cha kukubalika kwa Rais wetu kipenzi mbele ya macho na mioyo ya watanzania. Ushawishi wake kwa watanzania ndio kumefanya watanzania kumsikiliza na kumuelewa Mama. Ni majibu tosha kwa wale wanaofikiri wanaweza kumyumbisha ama kumuangusha Mama. Ujumbe wa watanzania ni kuwa Tupo pamoja na Rais wetu na tunakuunga mkono Rais wetu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251209-190602_1.jpg
Screenshot_20241128-121150_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa kutetea ,kupigania na kulinda Taifa letu kwa gharama zozote zile ziwazo na kwa wivu mkubwa sana.

Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele na kujivunia Uhodari ,uimara ,umadhubuti , ushupavu na umaridadi wa Rais wetu kipenzi katika kulilinda Taifa letu. Tuna kila sababu ya kulala majumbani mwetu bila wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile kwa kuwa tunaye Amiri Jeshi Mkuu Madhubuti kwelikweliiiiiii.

Maadui Zetu walikodoa macho yao kutazama Tanzania ikiteketea kwa moto na kuangamia katika majivi mazito. Lakini Watanzania na Tanzania tumewapa ujumbe mzito sana kuwa sisi ni Taifa Imara ,sisi ni wajukuu wa Nyerere,sisi ni wamoja na tupo tayari kulinda amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile mpaka tone la mwisho pasipo kuchoka.

Tumewapa ujumbe maadui zetu kwamba hatuwezi kuteketeza Taifa kwa mikono yetu.tumewapa ujumbe kwamba Tanzania siyo ya kuchezewa ama kudanganywa ili kuvuruga amani yetu. Tumewapa ujumbe kuwa amani yetu ndio tunu yetu tuilindayo kwa wivu mkubwa sana .

Tumewaambia kuwa pamoja na tofauti zetu za kisiasa na mitizamo tofauti ya kisiasa ,makabila tofautitofauti zaidi ya 120 lakini linapokuja suala la amani yetu sisi ni wamoja na hatugawanywi kwa namna yoyote ile wala kudanganywa kwa pesa ya aina yoyote ile na wala Amani yetu haina bei sokoni na hatuuzi Amani yetu.

Imekuwa ni siku ngumu sana kwa mabeberu na vibaraka wao. Kwa kuwa wamevuna aibu kubwa sana dhidi ya dua zao chafu na mipango yao.matarajio yao yamekwenda tafauti na hawaamini macho yao. Walijiandaa kwa matamko mbalimbali lakini wameshindwa vibaya sana na watanzania tumeibuka washindi. Sote ni washindi na sote tumeshinda chini ya uongozi thabiti na imara wa Rais wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Tutakabiliana na kupambana na yeyote yule atakaye jaribu kuvuruga amani ya Taifa letu.tutamdhibiti yeyote atakaye jaribu kuleta machafuko hapa Nchini. Kwa nguvu kubwa bila huruma tutajibu mapigo yoyote yale yenye lengo la kuharibu Amani yetu. Hongereni sana watanzania,Hongera sana Mama yetu Mpendwa Mama Samia kwa kutuunganisha watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3513618
🌈
 
J12 tunakipiga tena nchi imesimama na kufilisikaaa.......siku 100 hakuna la maana zaidi kuishi shimoniooo
 
Kama kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kuwatoa wanajeshi kutoka kwenye kambi zao na kuacha majukumu yao ya kikatiba na kuja kufanya maandamano mitaani ardhini na angani ndiyo unaona ni ushindi kwa Rais haramu basi kweli CCM imekufa kama chama chama cha siasa na imebakia kuwa genge la kigaidi tu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola.
 
Kwenda zako huko wewe . Kama umekula hela za Mabeberu utazitapika Mwenyewe kabla ya kutapishwa
 
Mimi naamini umasikini siyo sababu ya kuwa CHAWA...Maana kuna MICHAWA ina pesa za kutosha.

Je...nini haswa ni sababu ya UCHAWA....?

Kutoka katika kitabu cha wastaarabu ukurasa wa 7 aya ya 6, kinasema...

" Kamwe usije kuwa CHAWA kwa namna yeyote ile, kwa maana UCHAWA ni sawa na USHOGA."
 
Luka,

Kuna jambo mnapaswa mlielewe nyie timu Samia,nalo ni hili;

Kinachotokea sasa hivi si matukio kama mnavyoyatafsiri kisha mnaona mmeshinda kwa kuyadhibiti...hapana!!

Haya ni MATOKEO ya mlundikano wa mambo mengi ya hovyo chini ya huyo unayemsifia. Ni MATOKEO ya utekaji, ubakaji,ufiraji,ufisadi,mauaji na kukandamiza haki za watanzania walio wengi.

This is manifestation. Kuna mahali limeanzia hili jambo,na haya ni majibu. Nyie mnatafsiri kama hili ni swali na mnaona mmejibu kwa "kudhibiti maandamano" . Siyo kweli!

Hii ya Leo ni sauti Kali inayosikika kwenye ombwe. Matokeo ya hii sauti ni kujirudia rudia. Maana halijaisha hili.

Mnapaswa mumwonee huruma badala ya kumsifia maana kwenye kile chumba alichojifufungia na wale walio upande wake Huku sisi wapigania haki akituacha nje..isivyo bahati hata nyie miongoni mwenu mnafungua mlango na kusepa kidogo kidogo(mnazidi kupunguza chumbani).

Matokeo yake ni siku chache zijazo atabaki pekeyake na kuface reality. Ingawa Nina uhakika katika hilo limeshaanza kuonekana maana wengi walio upande wake wameanza kukaa kimya(hapa nazungumzia wale watu halisi nasiyo nyie wapiga mapambio mitandaoni ambao hamna impact).

Ndiyo maana wale mashehe wakatumwa "kuchokoza" kwa nini msaidizi yupo kimya? Mbona hamtetei mama? Hadi mkasema itakuwa ni kwa sababu yeye ni RC.

Katika ulimwengu wa Intel,hili la Leo ni alert kubwa kuwa nchi imeshafika pabaya na Kuna jambo linapaswa lifanywe na wenye mamlaka.

Huyo mtu wenu ameshaaanza kuchanganyikiwa kwa sababu ameshaanza kuface ule upweke wa ndani...ndani ya chumba ambacho yupo yeye mwenyewe,wengi waliokuwa nae wameondoka.

Hupaswi kumsifia kwa hili,bali mwonee huruma.
 
Mbona wewe hujakwenda kuandamana? Kama mwanaume jaribu kuingia barabarani uone moto wake .
We nae uko kama lipumbavu!

Mimi sio genzy wala siwezi kuandamana.

Ninachotaka wewe mashanga uendelee kutulinda dhidi ya magenzy kama ulivyoagizwa na mabosi wako.

Usibweteke, endelea kutema mapropaganda ili maandamano yazime. Fanya kazi usiku na mchana pumbavu sana wewe.
 
Ungetoka uandamane ili ukione cha moto pale utakapovunjwa vimiguu vyako hivyo.
 
Back
Top Bottom