stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
nliwaona mtandaoni mnachoma commentsStupid

Mbona wewe hujakwenda kuandamana? Kama mwanaume jaribu kuingia barabarani uone moto wake
Nyie ndio wale ambao yule mwehu Mange alikuwa amebakiza kuwambia mle vinyesi vyenu na mngekula.Stupid
Watanzania wapo majumbani kwao wameshindwa kutoka leo kwenda kwenye shughuli zao, sasa kama ulinzi wenyewe utaendelea katika mfumo huo unadhani hali itakuaje?Ni kazi ya vyombo vya dola kulinda Watanzania na mali zao.
Vipi nawe ni wale waliokuwa wamebakia kula vinyesi kwa ushairi wa MangeOndoa hii takataka.
Ameshinda nn wakati hayana kikomo?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa kutetea ,kupigania na kulinda Taifa letu kwa gharama zozote zile ziwazo na kwa wivu mkubwa sana.
Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele na kujivunia Uhodari ,uimara ,umadhubuti , ushupavu na umaridadi wa Rais wetu kipenzi katika kulilinda Taifa letu. Tuna kila sababu ya kulala majumbani mwetu bila wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile kwa kuwa tunaye Amiri Jeshi Mkuu Madhubuti kwelikweliiiiiii.
Maadui Zetu walikodoa macho yao kutazama Tanzania ikiteketea kwa moto na kuangamia katika majivu mazito. Lakini Watanzania na Tanzania tumewapa ujumbe mzito sana kuwa sisi ni Taifa Imara ,sisi ni wajukuu wa Nyerere,sisi ni wamoja na tupo tayari kulinda amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile mpaka tone la mwisho pasipo kuchoka.
Tumewapa ujumbe maadui zetu kwamba hatuwezi kuteketeza Taifa kwa mikono yetu.tumewapa ujumbe kwamba Tanzania siyo ya kuchezewa ama kudanganywa ili kuvuruga amani yetu. Tumewapa ujumbe kuwa amani yetu ndio tunu yetu tuilindayo kwa wivu mkubwa sana .
Tumewaambia kuwa pamoja na tofauti zetu za kisiasa na mitizamo tofauti ya kisiasa ,makabila tofautitofauti zaidi ya 120 lakini linapokuja suala la amani yetu sisi ni wamoja na hatugawanywi kwa namna yoyote ile wala kudanganywa kwa pesa ya aina yoyote ile na wala Amani yetu haina bei sokoni na hatuuzi Amani yetu.
Imekuwa ni siku ngumu sana kwa maadui ,mabeberu na vibaraka wao. Kwa kuwa wamevuna aibu kubwa sana dhidi ya dua zao chafu na mipango yao.matarajio yao yamekwenda tafauti na hawaamini macho yao. Walijiandaa kwa matamko mbalimbali lakini wameshindwa vibaya sana na watanzania tumeibuka washindi. Sote ni washindi na sote tumeshinda chini ya uongozi thabiti na imara wa Rais wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tutakabiliana na kupambana na yeyote yule atakaye jaribu kuvuruga amani ya Taifa letu.tutamdhibiti yeyote atakaye jaribu kuleta machafuko hapa Nchini. Kwa nguvu kubwa bila huruma tutajibu mapigo yoyote yale yenye lengo la kuharibu Amani yetu. Hongereni sana watanzania,Hongera sana Mama yetu Mpendwa Mama Samia kwa uhodari wako wa kutuunganisha watanzania kulinda Taifa letu.
Watanzania wamemuunga Mkono Rais wetu na kukubali kusimama naye kulinda Amani ya Taifa letu. Hiki ni kipimo tosha cha kukubalika kwa Rais wetu kipenzi mbele ya macho na mioyo ya watanzania. Ushawishi wake kwa watanzania ndio kumefanya watanzania kumsikiliza na kumuelewa Mama. Ni majibu tosha kwa wale wanaofikiri wanaweza kumyumbisha ama kumuangusha Mama. Ujumbe wa watanzania ni kuwa Tupo pamoja na Rais wetu na tunakuunga mkono Rais wetu .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3513634View attachment 3513618
Mbona wewe hujakwenda kuandamana? Kama mwanaume jaribu kuingia barabarani uone moto wake .
Wewe ni sababu mojawapo ya haya mapambano kuwatoa wajinga,wauaji,mafisadi na machawa wasituongoze.wewe na huyu mama yako ni suala la muda tu kupotea jiandae kwa machozi.Ndugu zangu Watanzania,

Wewe wahi tu kwenda Mirembe.Uchawa wako kwa muuaji Samia ndiyo unaita hoja are you mad !!!!!
Unaelewa kazi na wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama au unajiropokea tu utafikiri lilevi la gongo?Ukikaa na Jwtz wale wenye nafasi zq juu ukiwasikiliza wanapinga kabisa kukaa barabarani kama traffic officer tena kujihami dhidi ya mwananchi asyekua na mafunzo yoyote ya silaha . Ila kwa vile ni amri toka juu huwa hawana namna wanakubali tu ili kutoi mamlaka.
Zaidi wanasema Genz wamefanikiwa zaidi kwa kisimamisha nchi kutofanya shughuri zozote za kichumi kwa siku nzima. Kitu ambacho ni hasara kubwa sana kwa taifa .
Kikubwa wanasema kila Genz watakapopanga maandamano serikali itaingia kwenye hasara ambayo itafika wakati watashindwa kuwazuia ni bora wakasikiliza mawazo yao ili kuepuka yote.
Wewe ndiye utapotea na ujinga wako.Wewe ni sababu mojawapo ya haya mapambano kuwatoa wajinga,wauaji,mafisadi na machawa wasituongoze.wewe na huyu mama yako ni suala la muda tu kupotea jiandae kwa machozi.
Narudia kusema kuwa ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaHuna akili ndiyo maana kila wakati unatumia kauli hii hii, uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa.
Wewe inafaa kufa tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniEti takataka kama Lucas Mwashambwa ndiyo watetezi wa muuaji Samia !!!!
Ni bora kua mlevi wa gongo GT kuliko kua na elimu ya kukariri theory za watu.Unaelewa kazi na wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama au unajiropokea tu utafikiri lilevi la gongo?
Wewe endelea kujificha uvunguni tu . Maana ukileta za kuleta kuchafua Samani yetu ni lazma ushughulikiwe vizuri mpaka akili ikukae sawa. Hatuna utani katika ulinzi wa Taifa letu.Ni bora kua mlevi wa gongo GT kuliko kua na elimu ya kukariri theory za watu.
SAMUYA hatoshi pale.
Genz wamefanikiwa pakubwa sana.
Who are you siku 6 una sanda...kuomba pooo...na kugawa resources bureee ioi usifinfwe icc....upuuzii very liw iq...kutokea TanzaniaJaribu uone moto wake.