PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanzania haina adui yoyote zaidi ya ujinga na incompetence ya watawala, period

Shithole adui yake ni kipindupindu, wizi wa mali umma, mediocre leadership na uchawa hamna anayepoteza resource zake kupambana na failed state
Naona baada ya kushindwa kwa maandamano yenu uchwara mmebakia na mimahasira yenu huku mkitukana matusi tu kama vichaa au wendawazimu
 
Wewe endelea kujificha uvunguni tu . Maana ukileta za kuleta kuchafua Samani yetu ni lazma ushughulikiwe vizuri mpaka akili ikukae sawa. Hatuna utani katika ulinzi wa Taifa letu.
Taifa ni wote sio la watu wa tabaka fulani.wote tunastahiki national cake. Ila kukimbia vita sio uoga bali ni kwenda kujipanga ili urejee ukiwa stronger.

Wakati utafika .
 
Tunajua tangu Oct 29, alijishindisha kwa 98% kwa kumwaga damu za watoto wa 2000, unarudiarudia chawa hamna kipya
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa kutetea ,kupigania na kulinda Taifa letu kwa gharama zozote zile ziwazo na kwa wivu mkubwa sana.

Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele na kujivunia Uhodari ,uimara ,umadhubuti , ushupavu na umaridadi wa Rais wetu kipenzi katika kulilinda Taifa letu. Tuna kila sababu ya kulala majumbani mwetu bila wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile kwa kuwa tunaye Amiri Jeshi Mkuu Madhubuti kwelikweliiiiiii.

Maadui Zetu walikodoa macho yao kutazama Tanzania ikiteketea kwa moto na kuangamia katika majivu mazito. Lakini Watanzania na Tanzania tumewapa ujumbe mzito sana kuwa sisi ni Taifa Imara ,sisi ni wajukuu wa Nyerere,sisi ni wamoja na tupo tayari kulinda amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile mpaka tone la mwisho pasipo kuchoka.

Tumewapa ujumbe maadui zetu kwamba hatuwezi kuteketeza Taifa kwa mikono yetu.tumewapa ujumbe kwamba Tanzania siyo ya kuchezewa ama kudanganywa ili kuvuruga amani yetu. Tumewapa ujumbe kuwa amani yetu ndio tunu yetu tuilindayo kwa wivu mkubwa sana .

Tumewaambia kuwa pamoja na tofauti zetu za kisiasa na mitizamo tofauti ya kisiasa ,makabila tofautitofauti zaidi ya 120 lakini linapokuja suala la amani yetu sisi ni wamoja na hatugawanywi kwa namna yoyote ile wala kudanganywa kwa pesa ya aina yoyote ile na wala Amani yetu haina bei sokoni na hatuuzi Amani yetu.

Imekuwa ni siku ngumu sana kwa maadui ,mabeberu na vibaraka wao. Kwa kuwa wamevuna aibu kubwa sana dhidi ya dua zao chafu na mipango yao.matarajio yao yamekwenda tafauti na hawaamini macho yao. Walijiandaa kwa matamko mbalimbali lakini wameshindwa vibaya sana na watanzania tumeibuka washindi. Sote ni washindi na sote tumeshinda chini ya uongozi thabiti na imara wa Rais wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Tutakabiliana na kupambana na yeyote yule atakaye jaribu kuvuruga amani ya Taifa letu.tutamdhibiti yeyote atakaye jaribu kuleta machafuko hapa Nchini. Kwa nguvu kubwa bila huruma tutajibu mapigo yoyote yale yenye lengo la kuharibu Amani yetu. Hongereni sana watanzania,Hongera sana Mama yetu Mpendwa Mama Samia kwa uhodari wako wa kutuunganisha watanzania kulinda Taifa letu.

Watanzania wamemuunga Mkono Rais wetu na kukubali kusimama naye kulinda Amani ya Taifa letu. Hiki ni kipimo tosha cha kukubalika kwa Rais wetu kipenzi mbele ya macho na mioyo ya watanzania. Ushawishi wake kwa watanzania ndio kumefanya watanzania kumsikiliza na kumuelewa Mama. Ni majibu tosha kwa wale wanaofikiri wanaweza kumyumbisha ama kumuangusha Mama. Ujumbe wa watanzania ni kuwa Tupo pamoja na Rais wetu na tunakuunga mkono Rais wetu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3513634View attachment 3513618
🚮
 
Taifa ni wote sio la watu wa tabaka fulani.wote tunastahiki national cake. Ila kukimbia vita sio uoga bali ni kwenda kujipanga ili urejee ukiwa stronger.

Wakati utafika .
Vita gani uliyonayo
 
Ulitaka kuona milipuko ya moto sio, basi mtaiona soon
 
ICC iko pale pale, kuiba kura na kupiga watu risasi sio ushindi, mapambano yanaendelea lazima awajibike kwa ushenzi aliofanya
 
Mbona nyie tuyuvi veggies hamjatoka kushangilia uhuru na rais wenu?

Mmeweza kuwacontrol hao migambo sababu kibubu kina chenchi. Siku kikiishiwa mtaomba ardhi ifunguke mtumbukie ndani..!!

Na anguko lenu haliko mbali
 
Back
Top Bottom