PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
We nae uko kama lipumbavu!

Mimi sio genzy wala siwezi kuandamana.

Ninachotaka wewe mashanga uendelee kutulinda dhidi ya magenzy kama ulivyoagizwa na mabosi wako.

Usibweteke, endelea kutema mapropaganda ili maandamano yazime. Fanya kazi usiku na mchana pumbavu sana wewe.
Kwahiyo umemuona Lucas ni shanga? 😂
 
Kwenda zako huko wewe . Kama umekula hela za Mabeberu utazitapika Mwenyewe kabla ya kutapishwa
Mimi ni mwanaume halisi kutoka kanda ya ziwa nakula kwa jasho langu ******* kama wewe mnaoishi kwa kulamba makalio ya samuya ndiyo mjutie kwa nini mlizaliwa soon tutawafanya kitu mbaya sana.
 
Mbona wewe hujakwenda kuandamana? Kama mwanaume jaribu kuingia barabarani uone moto wake .
We nae uko kama lipumbavu!

Mimi sio genzy wala siwezi kuandamana.

Ninachotaka wewe mashanga uendelee kutulinda dhidi ya magenzy kama ulivyoagizwa na mabosi wako.

Usibweteke, endelea kutema mapropaganda ili maandamano yazime. Fanya kazi usiku na mchana pumbavu sana wewe.
 
Mimi ni mwanaume halisi kutoka kanda ya ziwa nakula kwa jasho langu ******* kama wewe mnaoishi kwa kulamba makalio ya samuya ndiyo mjutie kwa nini mlizaliwa soon tutawafanya kitu mbaya sana.
Wewe hujitambui. Sasa Nchi ipo mikononi mwa RAIS Na Amiri jeshi Mkuu Hodari asiyetaka mzaha wala utani katika kulinda Taifa letu.
 
Huna uwezo wa kutambua mambo ya nchi akili yako kiduchu inawaza uchawa tu upewe makombo ya kushibisha tumbo lako ndiyo unaona ndiyo maisha.
 
Tangu aapishwe kambi ya jeshi hajawahi kujitokeza hadharani kuongea na wapiga kura wake mln 32 (98% ya wapiga kura wake)

Anaogopa nini?
 
Wafanya Biashara wakubwa wa Kihindi wamekimbilia Kenya, waache wakirudi tu mandamano hayao
 
Jinsi wanavyoelezewa hao waandamanaji huelezwa kwa kudogoshwa sana ila hao hao wamefanya kujengeka kwa hofu iliyofanya nchi nzima kuwa kimya leo vyombo vya dola vikiwa busy.
 
Ni kazi ya vyombo vya dola kulinda Watanzania na mali zao.
 
Back
Top Bottom