Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Mungu tulipie kisasi wote wavurugane watiane hasira, si unajua mtu akiwaga na hasira anaropoka? Na anachoongea kwa wakati huo ndo ukweli, watueleze ilikuwaje siku ile. Am enjoying the movie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauli ya Dr Assad has come to pass bunge la Tanzania ni dhaifu........
ushahidi ni Ndugai mwenyewe aliyekuwa anabisha...,....
ameomba msamaha lakini amejitupa nje ya michuano mwenyewe
 
Achaaa:

Kwa hiyo mama hana analofanya kila kitu kielekezwe kwa mwingine? Au akifanya zuri ni lake baya ni la mwingine?
 
1: Ndugai katika kikao ambacho hakihusiani na bunge aliilaumu serikali iliyopo madarakani kwa kukopa

2: Katika mkutano huo aliwaambia hao waliokuwepo kwenye huo mkutano ". 2025 muangalie kama mtaendelea kuchagua wakopaji"

3: serikali iliyopo madarakani ni serikali inayotekeleza ilani ya CCM ambayo na yeye Ndugai ni mjumbe wa vikao vya juu.

4: Alikua na nafasi ya kutoa dukuduku lake kwa mambo yasiyompendeza akiwa bungeni au kwenye vikao vya chama.

5:Ni dhahiri Ndugai ndie aliyeanzisha hii sintofahamu, na ukiiangalia kwa undani ni dhidi ya Rais aliyopo madarakani hivi sasa, serikali zilizopita pia zimekopa na Ndugai alikua kiongozi bungeni na hakusema kitu.
 
Sielewi namna gani kujiuzulu wa spika kunamaanisha "mhimili wa bunge" umeharibika. Spika alilaumu hatua (=kupokea mkopo ) iliyokubaliwa na mhimili wake yaani ilipita katika kamati ya bunge yake. Je alipinga bungeni? Sasa serikali ilifuata azimio la kamati husika ya bunge na spika anapiga kelele.
Anapata mwangwi mkwali anajiuzulu. Sasa nani bunge? Mtu moja aliyechaguliwa kuwa spika na mawazo yake yakibadilikabadilika - au chombo chenyewe?
 
Hoja yako hii ulitakiwa ulete awamu iliyopita sio Sasa,kwa kuwa yanayotokea Sasa chimbuko ni awamu iliyopita
 
Awamu iliyopita alikua wapi,kw Nini Sasa,sio wakati ule? Tukisema mnamchukia mama kw sababu ya uzanzibari wake mtakataa,Ila ndiyo ukweli
 
Moja ya faida kubwa ya kuacha uhuru wa habari ndio hii. Faida yake sio tu kwa wananchi bali hata kwa viongozi. Kwa uhuru kidogo alioruhusu Samia, imesaidia kuwajua wabaya wake. Mzee wa Galilaya na mwendazake hii siri hawakuijua. Uhuru wa maoni ni silaha tosha kwa mtawala. Laiti jpm angejua si ajabu asingekufa kwa aibu namna ile. Alichaoasisi Ndugai kimemmaliza, hana wa kumlaumu. Kumlaumu mama Samia ni kumuonea tu.
Heshima ya mihimili iko kwenye mifumo na sio utashi wa watu/mtu, sasa hii mifumo ni Job ndiye aliyeiua na mwendazake akaizika. Badala yake wote wawili wamekuwa victims wa mifumo mizuri walioiua na kuanza vigenge vyao dhaifu.
 
Si ndio utetezi huo tunaoutaka.
Itetewe hoja ya Spika.

Mimi nimemuelewa sana Lissu..
Pamoja na yote lakini bado ametetea hoja,hana ushabiki maandazi kama nyumbu pori wengi.
Hoja ya spika itetewe kwa kudai katiba mpya itayopunguza mamlaka ya rais yanayosababisha anajisi mihimili mingine.
Acha roho mbaya[emoji2960]
roho nzuri na mbaya zote ni roho.
 
Achilia mbali waziri wa mambo ya ndani ambaye ni political figure. Jiwe alimpiga chini mkuu wa TISS nchini bwana Kipilimba.
Hili jambo ndio lilinishangaza sana!
 
Mleta bandiko acha unafiki,sema magufuli aliua mhimili wa bunge,sio Samia,kuwa mkweli,hupungukiwi na kitu.
 

Acha tu boss.
 
After all,
I love my president,SSH.
Eg:She is not as cruel as other former leaders in our nation.
 
Wewe acha kushabikia uozo kumbuka trump na yule mama spika wa senate? Yule mama alichanachana document ya Trump mbele ya Trump.
Hii ni precedent aliyoiacha yule muovu aliye kaburini na kusema mhimili mmoja umejichimbia zaidi. Siku mtakaposhtuka mtakuta Hang hire amehamishia kila kitu Zenj ndiyo mumuelewe Ndugai! na uovu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…