Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bunge limepigwa nyundo since day one kwa kuwa na katiba inayompa rais mamlaka makubwa yaliyopitiliza.Sukuma gang ndio kitu gani?
Si mmeshangilia bunge kupigwa nyundo mkidhani mnamkomoa Ndugai?
Subiri sasa mahakama itakapopigwa nyundo wakati wa hukumu ya gaidi!
Wewe member wa sukuma gang kama una nia njema tetea mabadiliko ya katiba yatakayopunguza mamlaka ya rais ili kuwe na separation of power.
Mahakama imepigwa nyundo since day one kwa kuwa na katiba mpya.
Tatizo wewe mjane umejikita kumtetea Ndugai personally wakati tatizo sio ndugai bali tatizo ni katiba mbovu.
Huwezi kupinga alichofanyiwa Ndugai alafu at the same time unatetea serikali ya CCM inayopinga mabadiliko ya katiba mpya.
Inshort umejinyea alafu hupendi harufu ya kinyesi lakini unakipenda hicho kinyesi 🤣🤣🤣