Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Sukuma gang ndio kitu gani?

Si mmeshangilia bunge kupigwa nyundo mkidhani mnamkomoa Ndugai?

Subiri sasa mahakama itakapopigwa nyundo wakati wa hukumu ya gaidi!
Bunge limepigwa nyundo since day one kwa kuwa na katiba inayompa rais mamlaka makubwa yaliyopitiliza.

Wewe member wa sukuma gang kama una nia njema tetea mabadiliko ya katiba yatakayopunguza mamlaka ya rais ili kuwe na separation of power.

Mahakama imepigwa nyundo since day one kwa kuwa na katiba mpya.

Tatizo wewe mjane umejikita kumtetea Ndugai personally wakati tatizo sio ndugai bali tatizo ni katiba mbovu.

Huwezi kupinga alichofanyiwa Ndugai alafu at the same time unatetea serikali ya CCM inayopinga mabadiliko ya katiba mpya.
Inshort umejinyea alafu hupendi harufu ya kinyesi lakini unakipenda hicho kinyesi 🤣🤣🤣
 
Bunge limepigwa nyundo since day one kwa kuwa na katiba inayompa rais mamlaka makubwa yaliyopitiliza.

Wewe member wa sukuma gang kama una nia njema tetea mabadiliko ya katiba yatakayopunguza mamlaka ya rais ili kuwe na separation of power.

Tatizo wewe mjane umejikita kumtetea Ndugai personally wakati tatizo sio ndugai bali tatizo ni katiba mbovu.

Inshort umejinyea alafu hupendi harufu ya kinyesi lakini unakipenda kinyesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mkaona mshangilie baada ya Hangaya kupigilia msumari wa mwisho?

Nyie si machizi sasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mkaona mshangilie baada ya Hangaya kupigilia msumari wa mwisho?

Nyie si machizi sasa?
ndugai hata akiliwa na chatu tutamshangilia chatu.

Sisi tunatetea mihimili iwe huru sio personally ndugai awe huru.
 
Ndugai alikuwa wa kuungwa mkono!

Kama tulikuwa tunalaumu kwamba bunge ni kibaraka wa selikali iweje basi Ndugai alipojaribu kuchomoza makucha tuone anakosea!

Wengi wenu mnashangilia hili mkifikri aliekomolewa ni Ndugai,. Kwani Ndugai atapoteza nini akikosa hiyo nafasi kwa miaka 4 hii?

Hapa bunge ndio limeshambuliwa.

Wajinga hawawezi kuelewa ila baadae sana ndio watakuja kuelewa.

Uimara wa bunge alipaswa aunyoshe ndani ya bunge na asiombe msamaha kwani ana kinga akiwa ndani ya bunge, sio kuonyesha sifa za kijinga kwenye vikao vya ushirikina wa wagogo. Kila siku alikuwa anaona fahari ya kuzuiwa mikutano ya wanasiasa hasa wa upinzani, ambapo watawala wangeshazoea kukosolewa. Sasa watawala wameshazoea kukaa bila kukosolewa, kisha yeye anasaka sifa za kijinga.

Tunajua fika hoja ya Ndugai ni genuine, lakini yeye hana moral authority ya kuhoji hayo huko mtaani, bali bungeni. Zile siasa za kishenzi alizoshiriki chini ya utawala wa Magufuli, sasa zimebackfire kwake.
 
ndugai hata akiliwa na chatu tutamshangilia chatu.

Sisi tunatetea mihimili iwe huru sio personally ndugai awe huru.
Akiliwa ndio mambo yenu yatakaa sawa?

Na itakuwa huru vipi kama mhimili mmoja unaingilia mwingine alafu mnashangilia?
 
Uimara wa bunge alipaswa aunyoshe ndani ya bunge na asiombe msamaha kwani ana kinga akiwa ndani ya bunge, sio kuonyesha sifa za kijinga kwenye vikao vya ushirikina wa wagogo. Kila siku alikuwa anaona fahari ya kuzuiwa mikutano ya wanasiasa hasa wa upinzani, ambapo watawala wangeshazoea kukosolewa. Sasa watawala wameshazoea kukaa bila kukosolewa, kisha yeye anasaka sifa za kijinga.

Tunajua fika hoja ya Ndugai ni genuine, lakini yeye hana moral authority ya kuhoji hayo huko mtaani, bali bungeni. Zile siasa za kishenzi alizoshiriki chini ya utawala wa Magufuli, sasa zimebackfire kwake.
Ndio maana akaomba msamaha baada ya kuona kumbe aliojaribu kuwazindua ni wapumbavu.

Na wapumbavu hao wanafikri Ndugai ndio amepigwa!

Lililopigwa ni bunge maana Ndugai atakaa pembeni akiendelea kula maisha ila vipi kuhusu taasisi ya bunge?
 
Chadema since day one wamezoeya manyanyaso ya serikali katili ya CCM, yani kwao hakuna maumivu mapya ambayo hawayajui.

Shida iko kwa hawa mataga pori ndugu wa marehemu wamezoeya kudekezwa leo yamewakuta wanalazimisha Chadema washiriki kuwatetea.
Sasa sisi sio watetezi wa team au watetezi wa viongozi, sisi tunatetea mihimili iwe na mamlaka kamili kwa kudai katiba mpya itakayopunguza mamlaka ya rais.
Si ndio utetezi huo tunaoutaka.
Itetewe hoja ya Spika.

Mimi nimemuelewa sana Lissu..
Pamoja na yote lakini bado ametetea hoja,hana ushabiki maandazi kama nyumbu pori wengi.
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Huna chochote ujuacho sukumagang.,
Aibu aliyoipata spika wenu yeye mwenyewe anaijua na atajutia maisha yake yote:-
1) Kwanini alienda kukosoa jambo ambalo limepita mikononi mwake?
2) Kwanini alienda kusema maneno yale gerej na yeye Spika wa Bunge anajua hoja za nchi wapi zinapelekwa.
3) Kwanini hakwenda kutolea kwenye kamati huko ambayo yeye ni mjumbe
4) Nape aliposema bungeni kuhusu mikopo kufanyiwa uhakiki kwanini hakukazia nati akapata mahali salama kuingiza na la kwake?
5) Kwanini kule gerej alitaja uchaguzi wa 2025? na kutishia mama asichaguliwe kuendelea?

Ni wazi Ndugai issue ilikuwa ni madaraka ya urais 2025, kwamba mama asingependa kumuona anaongoza tanganyika na alikuwa kwenye kundi la sukumagang kumpiga vita mama katika juhudi zake za maendeleo.

Bosi wako ndugai hakuwa na Nia njema kwa mama ndio reality., amevuna alichokipanda
 
Mimi nawaomba Watanzania wenzangu tumuunge mkono mama Samaia Suluhu Hassan ili aweze kutuletea maendeleo kwa haraka.
FB_IMG_1641530145332.jpg
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Kitendo cha mzee Job Ndugai kufukuzwa uspika inabidi watu wote wapenda demokrasia tufurahie. Ndugai hakuwa na nia njema na utawala wa mama Samaia Suluhu Hassan.
FB_IMG_1641538185910.jpg
 
Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]
Hujui yalomkuta bro mpk katema bungo walimwambia wangemfurusha uanachama na asingekua angalao na mafaa yake akaona heri nusu shari[emoji848][emoji23][emoji23]
 
Hii comment
Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji?

Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
Hii comment ni bora sana kwa uzi huu.
Shida yetu watanzania tunasahau mapema mno.
Yaani hata kule kujipendekeza kwa Ndugai kwa Mhimili uliojichimbia chini enzi za Mwendazake tumesahau

Mnasahau Ndugai alimvua ubunge Tundu Lissu ili tu kumfurahisha Jiwe,
Aise aliyeturoga keshakufa.
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Ni lini Tanzania tumekuwa na mihimili 3 inayofanya kazi zake kwa uhuru na weledi wake kama inavyotakiwa?. Ukizama sana mfumo wa Utawala wetu ni wa Mtu mmoja, ambaye ni Mkuu wa Nchi. Hakuna tena chombo chochote cha kumdhibiti huyu Mkuu wa Nchi.

Kwa maana hiyo, tuna mfumo wenye mapungufu makubwa....nadhani ulifaa zaidi wakati wa kupigania Uhuru, lakini si kwa nyakati hizi.
 
Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]
Kujiuzulu sio mpaka usemwe, ukisema tena huwa ndio wewe unanuka tena, kujiuzulu ni heshima pale unapoona ata kwa jambo dogo umeteleza kutenda wajibu wako ndivyo ilivyo ulimwenguni.

Huko kwenu mumezoea kuvutana mpaka mtu ashaacha makovu kibao ndio anaachia ngazi., Ndugai alipaswa kujiuzulu ata kabla rais hajasema chochote, alipoona tu kuna jambo haliendi sawa ata kabla ya kwenda kule kwa wagogo wenzake alipaswa kujiuzulu vigorously.,

lakini viongozi wenu ni wanafiki na walafi wa madaraka yeye shida yake ni madaraka ya rais lakini anaenda kutaja kitu cha hovyo mana bora angekuwa na hoja ambayo ikiekwa mezani kila mtanzania ataona hapa kweli kuna shida
 
Chezea kitu kingine sio ndugai
 
Back
Top Bottom