Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Mungu tulipie kisasi wote wavurugane watiane hasira, si unajua mtu akiwaga na hasira anaropoka? Na anachoongea kwa wakati huo ndo ukweli, watueleze ilikuwaje siku ile. Am enjoying the movie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauli ya Dr Assad has come to pass bunge la Tanzania ni dhaifu........
ushahidi ni Ndugai mwenyewe aliyekuwa anabisha...,....
ameomba msamaha lakini amejitupa nje ya michuano mwenyewe
 
Kama madai yako yana hata chembe ya ukweli basi angalau ungesema labda mama anamalizia yaliaoanzishwa na mwengine.

Kidogo tungetafakari,

Lakini kusema straight kwamba mama ni hivi naona kama ni kumuonea tu

Coz hayo angefanya yeyote yule awaye

Kwa kuwa yale maneno yenyewe yalikuwa ni vita tosha,

Kuhusu kupigana wenyewe kwa wenyewe Tanzania sahau,

Labda walioonja asali watake kuchonga mzinga
Achaaa:

Kwa hiyo mama hana analofanya kila kitu kielekezwe kwa mwingine? Au akifanya zuri ni lake baya ni la mwingine?
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
1: Ndugai katika kikao ambacho hakihusiani na bunge aliilaumu serikali iliyopo madarakani kwa kukopa

2: Katika mkutano huo aliwaambia hao waliokuwepo kwenye huo mkutano ". 2025 muangalie kama mtaendelea kuchagua wakopaji"

3: serikali iliyopo madarakani ni serikali inayotekeleza ilani ya CCM ambayo na yeye Ndugai ni mjumbe wa vikao vya juu.

4: Alikua na nafasi ya kutoa dukuduku lake kwa mambo yasiyompendeza akiwa bungeni au kwenye vikao vya chama.

5:Ni dhahiri Ndugai ndie aliyeanzisha hii sintofahamu, na ukiiangalia kwa undani ni dhidi ya Rais aliyopo madarakani hivi sasa, serikali zilizopita pia zimekopa na Ndugai alikua kiongozi bungeni na hakusema kitu.
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Sielewi namna gani kujiuzulu wa spika kunamaanisha "mhimili wa bunge" umeharibika. Spika alilaumu hatua (=kupokea mkopo ) iliyokubaliwa na mhimili wake yaani ilipita katika kamati ya bunge yake. Je alipinga bungeni? Sasa serikali ilifuata azimio la kamati husika ya bunge na spika anapiga kelele.
Anapata mwangwi mkwali anajiuzulu. Sasa nani bunge? Mtu moja aliyechaguliwa kuwa spika na mawazo yake yakibadilikabadilika - au chombo chenyewe?
 
Ndugai alikuwa wa kuungwa mkono!

Kama tulikuwa tunalaumu kwamba bunge ni kibaraka wa selikali iweje basi Ndugai alipojaribu kuchomoza makucha tuone anakosea!

Wengi wenu mnashangilia hili mkifikri aliekomolewa ni Ndugai,. Kwani Ndugai atapoteza nini akikosa hiyo nafasi kwa miaka 4 hii?

Hapa bunge ndio limeshambuliwa.

Wajinga hawawezi kuelewa ila baadae sana ndio watakuja kuelewa.
Hoja yako hii ulitakiwa ulete awamu iliyopita sio Sasa,kwa kuwa yanayotokea Sasa chimbuko ni awamu iliyopita
 
Pamoja na udhaifu wake ila alichojaribu kukionyesha ndugai alipaswa kuungwa mkono kwani aliokuwa anatekeleza wajibu wake kama spika kuisimamia serikali. Sema amekumbuka shuka kumekucha na wabunge waliopo hawa akina kigwa akina kibajaji na type zoote ni watu njaa
Awamu iliyopita alikua wapi,kw Nini Sasa,sio wakati ule? Tukisema mnamchukia mama kw sababu ya uzanzibari wake mtakataa,Ila ndiyo ukweli
 
Moja ya faida kubwa ya kuacha uhuru wa habari ndio hii. Faida yake sio tu kwa wananchi bali hata kwa viongozi. Kwa uhuru kidogo alioruhusu Samia, imesaidia kuwajua wabaya wake. Mzee wa Galilaya na mwendazake hii siri hawakuijua. Uhuru wa maoni ni silaha tosha kwa mtawala. Laiti jpm angejua si ajabu asingekufa kwa aibu namna ile. Alichaoasisi Ndugai kimemmaliza, hana wa kumlaumu. Kumlaumu mama Samia ni kumuonea tu.
Heshima ya mihimili iko kwenye mifumo na sio utashi wa watu/mtu, sasa hii mifumo ni Job ndiye aliyeiua na mwendazake akaizika. Badala yake wote wawili wamekuwa victims wa mifumo mizuri walioiua na kuanza vigenge vyao dhaifu.
Yeye anasema imetengenezwa lakini ogopa teknolojia. Wanasema mfa maji haishi kutapata. Na ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Ndugai anasema ile clip ilikuwa ya kutengenezwa ba wanahabari ili apate huruma lakini amechelewa maji yamefika shungoni.
Ile clip sio ya kutengenezwa. Kabla ya ile clip ndugai alishaanza kuwa mwimba ndani ya hii serikali.
Katikati ya mwezi Disemba mwaka ulioisha Ndugai alisikika akisema anakereka UMEME na MAJI kukatika katika hovyo. Lile lilikuwa tusi kwa serikali ya Samia.
Pamoja na mapungufu makubwa ya mzee ndugai sijapenda alichofanyiwa yeye, bunge na katiba kwa ujumla
 
Si ndio utetezi huo tunaoutaka.
Itetewe hoja ya Spika.

Mimi nimemuelewa sana Lissu..
Pamoja na yote lakini bado ametetea hoja,hana ushabiki maandazi kama nyumbu pori wengi.
Hoja ya spika itetewe kwa kudai katiba mpya itayopunguza mamlaka ya rais yanayosababisha anajisi mihimili mingine.
Acha roho mbaya[emoji2960]
roho nzuri na mbaya zote ni roho.
 
Mleta bandiko acha unafiki,sema magufuli aliua mhimili wa bunge,sio Samia,kuwa mkweli,hupungukiwi na kitu.
 
Hii comment

Hii comment ni bora sana kwa uzi huu.
Shida yetu watanzania tunasahau mapema mno.
Yaani hata kule kujipendekeza kwa Ndugai kwa Mhimili uliojichimbia chini enzi za Mwendazake tumesahau

Mnasahau Ndugai alimvua ubunge Tundu Lissu ili tu kumfurahisha Jiwe,
Aise aliyeturoga keshakufa.

Acha tu boss.
 
After all,
I love my president,SSH.
Eg:She is not as cruel as other former leaders in our nation.
 
Acha porojo za kijinga,,hata huko us Bunge linasaidia chama na Serikali, wapinzani wanakosoa chama na Serikali sio kuishambulia na kuikwamisha serikali yao.

Vinginevyo kungekuwa hakuna haja ya kutafuta wingi Bungeni,,kama hukubali unakaa pembeni kana Ndugai.
Wewe acha kushabikia uozo kumbuka trump na yule mama spika wa senate? Yule mama alichanachana document ya Trump mbele ya Trump.
Hii ni precedent aliyoiacha yule muovu aliye kaburini na kusema mhimili mmoja umejichimbia zaidi. Siku mtakaposhtuka mtakuta Hang hire amehamishia kila kitu Zenj ndiyo mumuelewe Ndugai! na uovu wake.
 
Back
Top Bottom