Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Shiriki michakato ya kidemokrasia, acheni kususa susa hapo mtaweza kuleta effect ya hiki unachokihofia.

Hatuna viongozi sasa bali majambazi ndani ya dola
 
Mbaya kwenu ila kwake na beneficiaries wake wapo radhi hata kukuangamiza hawawezi kuruhusu ibadilishwe kizembe😅
 
Acha porojo za kijinga,,hata huko us Bunge linasaidia chama na Serikali, wapinzani wanakosoa chama na Serikali sio kuishambulia na kuikwamisha serikali yao.

Vinginevyo kungekuwa hakuna haja ya kutafuta wingi Bungeni,,kama hukubali unakaa pembeni kana Ndugai.
 
Unafiki kitu kibaya Sana.
Leo ndo mnaona mwenyekiti wa ccm ndo yupo juu ya mihimili mingine.
Lini hyo mihimili 3 ilikuwa sawa!?
mwenyekiti wa ccm,anamteua jaji mkuu,anamteua mwenyekiti wa NEC,anamteua spika wa bunge,anamteua CDF,anamteua IGP,anamteua mkuu wa uhamiaji ,anamteua mkuu wa magereza n.k
Mbona kipindi Cha MAGUFULI ndo ndugai alinyanyasa Sana wapinzani mpaka kuwatoa nje leo mmesahau?
Alimfuta lisu ubunge na mengine mengi
Leo mnamuona wa maana.
Mleta mada acha UNAFIKI
 
Mimi staki kuiongelea sana katiba kwa sababu Africa hakuna kufata katiba hata iwe nzuri ni kazi bure.

Ila ikitokea kale ka katiba kakabadilishwa nitafunga siku 40 kale ka kifungu kalikotuletea majanga mwezi wa tatu 2020 kaondolewe kabisa.yaani ni kama mtu kulala maskini ukaamuka tajili kisa kakifungu kamoja tu? Kwa mara ya kwanza hako ka kifungu aliniumiza.😂😂
 
Mungu tulipie kisasi wote wavurugane watiane hasira, si unajua mtu akiwaga na hasira anaropoka? Na anachoongea kwa wakati huo ndo ukweli, watueleze ilikuwaje siku ile. Am enjoying the movie.
Kha!kha!. Kwamba vita ya pazi furaha kwa kunguru au siyo?.
 
Hahahah!!!!angeazia wap???chawa kila kona wanatoa matamko kutetea ugali wao
Duuuu bora umeona halafu hii nchi ina wanafiki balaa .hivi Gwajima yule Gwajima anavyoitisha hizo mic ni mapenzi ya nchi ama unafiki mtupu
 
Kha!kha!. Kwamba vita ya pazi furaha kwa kunguru au siyo?.
Kakifungu kale ka kipuuzi sana. Kenyewe kapo kukupa tu shavu umelala zako home huna kazi kanakuita njoo ujikalie kiti cha ufalme ni chako, uamini kinachotokea ka kifungu kanakwambia njo ule bata mpaka utachoka.

Embu nambie ka kifungu hako hako ikitokea la kutokea ya mungu mengi, yaani katatuchapa kiboko kisichoumiza unalia tutoka dar mpaka kigoma mwisho wa reli.
 
Huyu bibi hafai kuwa kiongozi hata kidogo
 
Unacho kijua wewe sicho anacho kijua rais kuhusu ndugai, na unatakiwa kujua shinikizo la kuachia ngaz halijatoka kwa mama bali limechagizwa na wabunge wenzake sasa kama unao waongoza wanakutaka uachie ngazi hilo ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…