Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Wewe Mzenji, hakuna mwenye chuki na Maza.Maza aache kuingilia mihimili mingine.
 
Mimi naona bunge lilikuwa linafufuka toka wafu kipindi cha magufuri bunge ndo lilikufa likaoza kabisa angalau kipindi hiki lilikuwa linafufuka lakini limepigwa nyundo moja wooote kimyaaaaa woote chaliii
 
Tatizo watanzania hatuwezi kutenganisha hisia na maslahi yetu
 
Bunge alishauwa Ndugai na Magufuli siku nyingi sana
 
Huyo ndugai angejaribu kufanya alichofanya kipindi cha magufuli huenda saivi angeshakutana na yesu. Mama ni mstarabu sana
Yesu yupi? Nundu gay akutane na Yesu? Labda akiomba toba kwa kujisugua kwenye majivu kama Modekai
 
Yesu yupi? Nundu gay akutane na Yesu? Labda akiomba toba kwa kujisugua kwenye majivu kama Modekai
Mkuu alituambia yesu alioa huenda ana details nyingi sana kuhusu yesu
 
Mbona mnafosi ni corona 😅 wataropoka kweli soon tu! Yale mabadiliko ya jiwe kutoka kuwa hendisamu mpaka babu ghafla kuna jambo hatulifahamu inabidi tufahamishwe
Mzee alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu tu.
 
Punguza ujinga, aliyeuwa mhimili wa bunge ni shetani mwendakuzimu, acheni kumsingizia mama.
 
ng'ombe zinashangilia muhimili wa bunge kunajisiwa na executive.
MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAI
1. Hakuwa Spika Mtenda Haki.
2. Aliua Ofisi ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
3. Alifukuza Wabunge wa Upinzani Bungeni kadiri alivyotaka.
4. Alimuita Mbunge aliyejiuzulu Ubunge (Cecil Mwambe) aendelee kukaa bungeni.
5. Aliwaruhusu waendelee kukaa bungeni Wabunge wawili waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema (Lijualikali na David Silinde)
6. Aligoma kuidhinisha fedha za matibabu ya Tundu Lissu
7. Alimfuta Ubunge Tundu Lissu
8. Aliruhusu Watu 19 wasio na vyama kuwapo Bungeni(akina Mdee)
 
Mama anatakiwa apige mzigo mpk 2040...
 
Uzi wako una mashiko.. Ila mimi Shetani Ndugai kufurushwa nimefurahi sana... Ndugai ni zaidi ya ibilisi
Tukutane sehemu jioni tupate Wisky mkuu.

Jumapili hii nakwenda kutowa sadaka ya shukrani kwa Mungu kama nilivyofanya kwa shetani mwendakuzimu.

Na huyu mwaka huu hatoboi kwa stress hizi na magonjwa aliyonayo naye ataitwa Mwendazake. Tunza comment hii for reference.

Leo ni siku ya furaha kwa Taifa la Tanzania, mashetani wote wanapukutika one after another.
 
Kwa nini haya yanatokea sasa hivi?nini chanzo Cha udhaifi huu wa bunge letu?je Kuna ulazima wa spika kuwa mwanachama wa chama Cha siasa?tukianzia hapo tutapata suluhisho la kudumu.kulalamika bila kuchukua hatia hakutatusaidia.maana wenye nchi ni wananchi.kwa heri ndugai usimtendee mwenzio usiyo penda kutendewa.
 
Mimi naona bunge lilikuwa linafufuka toka wafu kipindi cha magufuri bunge ndo lilikufa likaoza kabisa angalau kipindi hiki lilikuwa linafufuka lakini limepigwa nyundo moja wooote kimyaaaaa woote chaliii
Ni lini bunge lilifufuka? hizo pumba zake Ndugai aliongea bungeni au vichochoroni?
 
Na huyu mwaka huu hatoboi kwa stress hizi na magonjwa aliyonayo naye ataitwa Mwendazake. Tunza comment hii for reference.
Jana Space ya Maria Lema kamchana live ibilisi kuwa " Asipotubu mwaka huu anaondoka kwa baba"
 
Jibu ni rahisi tu, suluhisho la haya yote ni katiba mpya.

Unayoyaona ni matakwa ya katiba ya mwaka 1977 ambayo ni katiba ya chama kimoja.
 
Mama ndio alimtuma kuropoka?ndugai amejinyonga kwa kamba yake mwenyewe tusimsingizie mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…