Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Wakitaka kukufukuza wanakwambia jiuzuru mwenyewe,kukulindia heshima,kumbuka aloyekuwa Waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa,alivyojiuzuru.Kwani alimshika koo ajiuzulu, mwenyewe ka suffocate...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitaka kukufukuza wanakwambia jiuzuru mwenyewe,kukulindia heshima,kumbuka aloyekuwa Waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa,alivyojiuzuru.Kwani alimshika koo ajiuzulu, mwenyewe ka suffocate...
Ndugai aliyeongoza kikao cha bunge kumpaka matope na kumdharirisha CAG prof ASSAD ndo huyu huyu ambaye kikao kijacho wanashuka naye jumla jumla.
Muosha huoshwa malipo tunalipwa hapa hapa dunia.
Lakini binafsi sijapenda alichofanyiwa ndugai na atakachofanyiwa japo naye alikuwa na mapungufu san
Kwa aliyoyasema gwajima jana huyo ndugai wenu mnafiq na fitina tu. Kama suala lililetwa bungeni kwako ukalipitisha then unaenda kwenye media unamponda rais lengo lako nini? Alafu unashupaza shingo kwa sababu ya kukopa kwani huyo mama ndio wa kwanza? Ndugai kafanya mangapi ya kulimaliza bunge kabla hata huyo mama hajawa rais? Mbona mnachuki sana na mama nyie watu.?
Hoja ya Job kukomaa ingekuwa na mashiko kama asingekuja kuomba msamaha. Kitendo chake cha kuomba msamaha ambao hata yeye hakujua a naomba wa nini ndo kilimchomtafuna. Yeye alivokutana na wagogo kala chakula cha Kigogo ambacho hajala kwa muda kwa kuzoea mapocho pocho dish liliyumba akaanza kuropoka. Sasa ajiandae kupambana na stress na sukari. Ed yeye wakati anachomoa betri alipata farijiko kutoka Chadema. Job simuoni akienda kuombea ubunge tena. Namwona akiwa ni mhanga wa afya zaidi.Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]
Ndugai alipoambiwa bunge dhaifu akaanza bifu na waliomwambia ukweli. Sasa ngoja avune alichopanda. Kwanza bunge lenyewe limejaa wabunge haramu.Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun
Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.
Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Nani wa kumdhibiti? Ngedere wanaoshangilia miti kuungua?Umesema vyema. Huyu mama adhibitiwe kidogo. So far ana mema mengi kafanya ila ili la kushurutisha muhimili mwingine sio afya kwa demokrasia
Mmmhh mkuu sema ulitaka akomae ili uendelee kufaidi filamu! Lkn kujiuzulu kwake ndo ni kma filamu umeishia Kati Kati Kwa wengiNdugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]
Hii nchi hata waziri wa mambo ya ndani mwenye siri zote za kivita aliwahi pigwa chini na maisha yalisonga.
Sembuse job.
Kwani ndugai aliyasema yale akiwa bungeni? Au spika anakua na kinga ya uspika hata nje ya bunge?Mstaarabu kubaka bunge?
Umesema vyema. Huyu mama adhibitiwe kidogo. So far ana mema mengi kafanya ila ili la kushurutisha muhimili mwingine sio afya kwa demokrasia
Tunataka kujua kuhusu Lissu tu, nani muhusika?Hahahahahah mi nataka waropoke kuwa amiri jeshi wetu JPM walimfanyaje hadi ku RIP maana najua upande mmoja unaujua ukweli[emoji28]
Hoja zake zinakuwa valid akiwa bungeni pekee?Kwani ndugai aliyasema yale akiwa bungeni? Au spika anakua na kinga ya uspika hata nje ya bunge?
Hilo bunge lenyewe lishabakwa kitambo sana wewe ulisikia wapi bunge lenye wabunge wasio na chama?
Mgogo atatesekaje?Anayeteseka Ni Mgogo na sio Hangaya......mbona kipindi Cha jiwe hakutuletea huo ujumbe?Sasa ndio kawa mwema akapumzike tu
Ameeeen...!Mungu tulipie kisasi wote wavurugane watiane hasira, si unajua mtu akiwaga na hasira anaropoka? Na anachoongea kwa wakati huo ndo ukweli, watueleze ilikuwaje siku ile. Am enjoying the movie.
Kukopa kuneemesha zenj ndiyo habari ya mujini! subirini Tik!! tik !! tok!! tok!! timing bomb!Kwa aliyoyasema gwajima jana huyo ndugai wenu mnafiq na fitina tu. Kama suala lililetwa bungeni kwako ukalipitisha then unaenda kwenye media unamponda rais lengo lako nini? Alafu unashupaza shingo kwa sababu ya kukopa kwani huyo mama ndio wa kwanza? Ndugai kafanya mangapi ya kulimaliza bunge kabla hata huyo mama hajawa rais? Mbona mnachuki sana na mama nyie watu.?
Asipoacha double standard,atachokonolewa tu.Waache kumchokonoa....