Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport, barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama.

Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama. Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais Hussein Mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Niwie radhi ila wewe ni kiazi, hivi unajua kweli hata Chato inaingiza kiasi gani, hiyo Hospitali ya Rufaa ilijengwa chato au Geita??

Anyway, kinachowaumiza ni kila kitu ambacho mnatamani kiwepo bila kukitolea jasho
 
Mkuu kwani Zanzibar inalishwa na Tanganyika? Kama mnatuona sisi tegemezi kwanini hamvunji muungano? Makafir wakubwa
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport, barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama.

Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama. Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais Hussein Mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Kutokana na uduni wa elimu ameona mpira ndio utawafaa kwani kila goli watapata mil. 5 au 10. Kizimkazi ni kwa wakwezi wa mikarafuu na minazi na madrasa kibao.
 
Bora hata angejenga madrsa kila shehia angefanya la maana kuliko kujenga akademi. Huyu mama atalaaniwa na wanaKizimkazi hadi anaingia kaburini.
 
Kila nyumba sita kuna madrasa, elimu dunia hawaitaki kwani wanaona mitihani ni usumbufu.
 
Hilo mnaliona kwa waZanzibar tu lakini watanganyika wakifanya ni halali? Mbona hamkusema kipindi cha Magufuli? Halafu hawo wananchi wanaopelekewa maendeleo kwani wao sio sehemu ya watanzania? Kunya anye kuku tu, akinya bata ameharisha? Yakhe huna khaya? Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Umesema mwenyewe mali za wa watanganyika. Magufuli alikuwa mtanganyika alipeleka mbuga na mali kwa Watanganyika kwa kuwa mali hizo zilitokana na Watanganyika. Hakupeleka kwa wasiohusiaka.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Kumbe wewe Mkuu tpaul ni yakhee?, mi ni shemeji yako fulani hivi!.

Hayo yote unayoyaona Kizimkazi ni mwanzo tuu, maendeleo yatakuja kila sekta. Ila hilo la Samia kuanzisha mbuga Zanzibar, kwasabu tuu JPM alianzisha mbuga ya Burigi Chato, usiinge tembo ... utapasuka ..., hilo haliwezekani kwasababu Zanzibar haina eneo la natural habitat ya wildlife, anachoweza kufanya kufanya ni kuanzisha zoo kama kule Dubai tulikopeleka wale twiga wetu, jike na dume, and japo they mate but no conception twiga jike ha conceive kwasababu Dubai sio natural habitat yao!. Wamejaribu artificial insemination, bado imeshindikana!.

Hata wale faru 4 walioletwa Ngorongoro toka South Africa, they mate but don't conceives!. Faru wawili wamekufa akiwemo faru Joni.

Hata ile Serengeti migration ya nyumbu, wanahamia Masai Mara kwenda ku mate, wakiisha conceives ndipo wanarejea Serengeti kuja kuzaa na breed their young ones!.

Baada ya 5 tena, mtafurahi wenyewe, Kizimkazi itakuwa sio ile Kizimkazi tena, itakuwa Kizimkaza, kizimighorofa, Kizimihoteli, Kiziuwekezaji, Kizimendeleo, Kiziutalii etc kiukweli faida zitakuwa nyingi ila sio faida tuu, na hasara kidogo za ukijua kupokea lazima ujue kutoa, kula uliwe, wale dada zenu, tutawatafuna sana itawabidi muvumilie!.
P
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport, barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama.

Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama. Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais Hussein Mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Huku Tanganyika wengine wanasema Mama anahamisha mali anazipeleka kwao Zanzibar tena kwao Kizimkazi 😂😀 !
Ona sasa kumbe sio kweli 😂🤣🤣🤦🏽‍♂️
 
Nyie bakini huko na uvunjike huu muungakiinimacho haraka! Mujiunge na mabwana zenu wa ghuba huko mtuachie raslimali zetu stupid!
 
nakuona kama unaota vile! hiyo mbuga ya wanyama mutakayoanzisha ardhi yake iko wapi? Vyengine ni bora musamehe tu na munyamaze. Mukiambiwa wote muhame eneo la Kizimkazi ili lifanywe hifadhi mutakubali? Huo mpango wa kujenga airport tu eneo la Paje basi malalamiko kibao.

Hivi enzi za Aboud Jumbe muliletewa tembo mmoja tu zawadi kutoka India na mulishindwa kumlisha itakuwa wanyama wengi? Zanzibar leopards wako wapi? Mumewamaliza wote kwa kuwawinda. Mumejaribu kuintroduce mamba matokeo yake mumeshindwa kuwahifadhi na mumewaachia kiholela, leo hii mpaka baharini kuna siku unakutana na mamba.
 
Huyu muimba taarabu anazidi kutukosea sana watanganyika Kwa kuchota pesa zetu tunazokamuliwa Kodi Kila siku na kujenga miradi ya kihuni ya sport academy Kwa manufaa ya Zanzibar ambao hawakatwi Kodi yeyote
tuliza boli wewe GenZ, wakati wa Nyerere pale mulipobanwa na IMF na mifuko ilikauka, unadhani aliyewaopoa hapo kama si Zanzibar ni nani? Sasa ni payback time.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport, barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama.

Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama. Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais Hussein Mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Chura Kiziwi
 
Kila mkopo mnapata asilimia nyingi tuu lakini hamlipi hata mia kila bajeti mnapata mgao wenu wabure tuu mnapata ajira mnapata ardhi mnachaguliwa na kuingia hadi sehemu ambazo sio za kimuungano alafu unakuja kuandika pumba eti hajawahi kufaidi rasilimali za Tanzania ni zenu kwani 🤔 hicho mnacho pata kwa bahati mbaya mshukuru Sana tena tuliza kinyesi kabisa
 
Wazanzibar wana Taifa lao na Rais na Wimbo wao na Bendera yao na Jeshi Lao KMKM. Mtashiba lini kunyinya rasilimali za Tanganyika??? Toshekeni na mlivyojaliwa na Mola.
Kmkm ni mgambo si jeshi
 
Umewakosea sana wazanzibari kwa kuandika utumbo. FUTA HII
Acha uzulumishi wewe MamaSamia2025 . Mwenzako Magufuli aliwapelekea wanaChato maendeleo ya kutosha lakini wewe unawepelekea watu wako makombo. Ni lini Zanzibar itaanza kufaidi keki ya taifa kikamilifu?
 
Back
Top Bottom