Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Huko uarabuni kwa wajomba zetu ipo nchi mojawapo imeanzisha mbuga kutokana na wanyama toka Tanzania na huenda ikulu enzi hizo za ruksa.
 
Kama umewahi kuishi Zanzibar(Unguja na Pemba) utaona kabisa uchumi wa Zanzibar ni bomu ambalo linaweza kulipuka muda wowote ila uwepo wa Tanganyika unasaidia kupunguza ukali wa maisha kwa Zanzibar.
1. Kasi ya kuzaliana ni kubwa na eneo la ardhi ni dogo.
2. Uchumi unategemea Utalii, na ukiangalia kwa makini wanaojenga mahoteli ya utalii ni hao hao wazungu ila wazawa akina Faki wanaishia kuwa wahudumu na madereva wa watalii
2. Zao la biashara ni Karafuu na Mwani hayo mashamba ya karafuu mengi ni ya urithi hivyo hakuna mashamba mapya kwahiyo kama hajarithi shamba ndio basi tena.
3. Ajira tegemeo kubwa ni serikalini ambayo uwezo wake wa kuajiri ni mdogo sana. Huko kwenye utalii na uvuvi bado hakuna ajira inayoeleweka labda ujiajiri. Wengi ya vijana wanaomaliza chuo hukimbilia Tanganyika kubahatisha ajira.
4. Masoko, soko la Zanzibar ni dogo sana hata ukianzisha viwanda vingi idadi ya watu ni around 2.5M haifiki hata nusu ya wakaazi wa DSM. Hizo bidhaa unamuuzia nani? Hapa tegemeo la soko ni Zambia, Congo, Zimbabwe na ili ufike huko lazima upite Tanganyika au uzunguke Kenya.
5. Watu milioni 2.5 wa Zanzibar wana wabunge 40+ wanaolipwa na serikali ya Tanganyika lakini watu milioni 6 wa DSM wana wabunge 7/8. Zanzibar ilivyo Ubungo ni jimbo, Mwenge ni jimbo, makongo ni jimbo, kijitonyama ni jimbo, Mikocheni ni jimbo.
6. Kitu pekee kitakachokuja kuiokoa
 
Miradi ya Dr Mwinyi mingi ni hela ya mkopo, Deni la zanzibar limekuwa kwa kiwango kikubwa sana toka aingie madarakani.
Ongezea na ile asilimia ya mgao kutoka Tanganyika
 
Huyu muimba taarabu anazidi kutukosea sana watanganyika Kwa kuchota pesa zetu tunazokamuliwa Kodi Kila siku na kujenga miradi ya kihuni ya sport academy Kwa manufaa ya Zanzibar ambao hawakatwi Kodi yeyote
Bado hamjasema na zenji hamuwezi kwenda bora chato mngepanda basi mfike mfurahie
 
lakini football academy sio kweli
kutrakua na sports arena ambayo itakua na viwanja vya mpira, basketball. swimming na netball kwa vieango vya kimataifa.mim nina uhakika likipatikana hilo kizimkaz haitalala tena.hadi baadh ya mech za world cup zitakuja kupigwa kizimkaz.na mambo mazur yanakuja we famya dua tu myombee mama afiya na uzima
kizimkaz ndio mji mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…