Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Stori nimeishia hapa; eti "tutabaki hivi hivi hadi Allah atakaporudi"

Kafiri ni kafiri. Hata kujificha vp tajulikana tu.

Siwezi kuendelea na story hii na ni kupotezeana musa tu.

Wewe ni mchaga period
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport,,barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi Allah atakaporudi. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama. Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama.

Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Subirini kuna mradi mkubwa wa bar ya nyota tano, kitimoto mtauziwa kwa bei ya muungano
 
Astafaghallah! Nyie majitu wa bara ndio mnakula hawo wadudu ndio maana mmekuwa na roho mbaya za kudhulumu rasilimali za wazanzibar bila huruma.
 
Je, watanganyika hawana haki ya kumiliki ardhi Zanzibar?

Tatizo la Wazanzibari mmejawa na choyo, ghilba, ubinafsi na tamaa.
Ardhi ya Zanzibar imemezwa na maji mnataka hata hii kidogo iliyobaki mje jitwalia yakhe? Hamna khaya?

Mapori yote yasiyolimwa huko Tanganyika hamyaoni? Nyie wehu nini?
 
Kwani wazanz7bar hawana haki ya kufaida rasilimali za taifa. Tatizo matanganyika mna roho mbaya sana. Kila kitu mnataka mfaidi nyie tu. Mna matatizo makubwa sana.
Sasa si mkafanye huko Zanzibar. Mbona mbalalamika wakatina Rais, Katiba yenu, wimbi wenu wa Taifa na nchi yenu isiyitambukika nje ya mikaoa mnayo. Kama hamna wanyama fugeni hata panya na paka muwaweke kwenye Zoo.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport,,barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi Allah atakaporudi. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama. Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama.

Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Tulia bado ana miaka mi5 mbele Zanzibar lazima iwe kama Brunei.
 
Hamna taabu. Sisi Watanganyika ni bad zenu. Hatuna wivu na maendeleo ya wajukuu zetu. Ndo maana miaka yote 60 tunawabeba na kuwatunza matunzo yote yampasayo mke mdogo.
 
Acha ubaguzi wako wa kijinga mkuu. Kwani wazanzibar hawana haki ya kufaidi rasilimali za taifa?
Rasilimali wanazotakiwa kufaidi wazanzibar ni zile zinazotokana na wazanzibar wenyewe na siyo za Tanganyika kama ni ubaguzi na roho mbaya walionyesha wazanzibar wenyewe lilipokuja suala la mafuta waliposema mafuta ni ya wazanzibar wenyewe,watanganyika hawana chao kwenye mafuta ya Zanzibar watakuwa kama wateja wa kwenda kununua mafuta Zanzibar.

Kwanza Samia anatukosea sana wa Tanganyika tungekuwa tunaweza alikuwa ni wakufukuzwa kwa mawe,wamasai mpaka sasa hivi wanateseka na kuitwa raia wa Kenya kwa sababu ya Samia,ndege za walizonunua wa Tanganyika kawapa wazanzibar,kati ya meli 8 zinazoundwa 4 za wazanzibar 4 za wa Tanganyika malipo kwa wa Tanganyika.

Ni heri ya Magufuli japokuwa naye alikuwa ni jangiri wa kupendelea nyumbani kwake Chato lakini Chato ilikuwa ni sehemu ya Tanganyika kuliko Samia anayetumia raslimari za Tanganyika kupeleka nchi jirani kwa kisingizio cha muungano kiini macho.
 
Stori nimeishia hapa; eti "tutabaki hivi hivi hadi Allah atakaporudi"

Kafiri ni kafiri. Hata kujificha vp tajulikana tu.

Siwezi kuendelea na story hii na ni kupotezeana musa tu.

Wewe ni mchaga period
Rejea kwenye hoja, acha kuleta vihoja yakhe!
 
Rasilimali wanazotakiwa kufaidi wazanzibar ni zile zinazotokana na wazanzibar wenyewe na siyo za Tanganyika kama ni ubaguzi na roho mbaya walionyesha wazanzibar wenyewe lilipokuja suala la mafuta waliposema mafuta ni ya wazanzibar wenyewe,watanganyika hawana chao kwenye mafuta ya Zanzibar watakuwa kama wateja wa kwenda kununua mafuta Zanzibar.

Kwanza Samia anatukosea sana wa Tanganyika tungekuwa tunaweza alikuwa ni wakufukuzwa kwa mawe,wamasai mpaka sasa hivi wanateseka na kuitwa raia wa Kenya kwa sababu ya Samia,ndege za walizonunua wa Tanganyika kawapa wazanzibar,kati ya meli 8 zinazoundwa 4 za wazanzibar 4 za wa Tanganyika malipo kwa wa Tanganyika.

Ni heri ya Magufuli japokuwa naye alikuwa ni jangiri wa kupendelea nyumbani kwake Chato lakini Chato ilikuwa ni sehemu ya Tanganyika kuliko Samia anayetumia raslimari za Tanganyika kupeleka nchi jirani kwa kisingizio cha muungano kiini macho.
Kwani muungano umevunjika hadi wazanzibar wasiruhusiwe kumiliki na kutumia rasilimalii za Tanganyika? Unajua nyie watanganyika kinachowaponza na kitakachowaumiza ni roho ya chuki na ubaguzi. Mbona nyie mnatumia bahari ya Zanzibar bure? Punguza chuki mkuu.
 
Kwani muungano umevunjika hadi wazanzibar wasiruhusiwe kumiliki na kutumia rasilimalii za Tanganyika?
Mbona Watanganyika hawatumii raslimali yoyote ya Zanzibar na husemi, hulalamiki?
 
Back
Top Bottom