Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Sehemu ya bahari ya Hindi kutoka Zanzibar hadi pwani ya Tanganyika
Mpaka wa Tanganyika ndani ya Bahari ni Maili 100 kutoka Maili 12 Mashariki mwa kisiwa Cha Unguja. Tanganyika baharini inapakana na Ushelisheli Comoro. Hivyo, Wazanzibar tulieni dawa iwaingie vizuri maana hata visiwa vya Unguja na Pemba vinapatikana ndani ya mipaka ya Tanganyika, hivyo vyote ni Mali ya Tanganyika. Ndo maana hatuna taabu sana Wazanzibar maana nyie mali yetu.
 
Mpaka wa Tanganyika ndani ya Bahari ni Maili 100 kutoka Maili 12 Mashariki mwa kisiwa Cha Unguja. Tanganyika baharini inapakana na Ushelisheli Comoro. Hivyo, Wazanzibar tulieni dawa iwaingie vizuri maana hata visiwa vya Unguja na Pemba vinapatikana ndani ya mipaka ya Tanganyika, hivyo vyote ni Mali ya Tanganyika. Ndo maana hatuna taabu sana Wazanzibar maana nyie mali yetu.
Unasema hivyo kwa kuwa watanganyika ni dhulmati, mmezoea kuiba rasilomali za Zanzibar na kujimilikisha mazima.
 
tpaul hivi Pemba siyo sehemu ya Zanzibar? Mbona Samia huwa haendi huko wala kufanya uwekezaji huko?

Nashauri., Samia amuige Magufuli kwa kuwajengea wananchi wa nchi ya Zanzibar daraja la kuunganisha Pemba na Unguja ili kurahisisha usafiri baina ya hivi visiwa.

Imewezekana daraja la Kigongo - Busisi na huko nchi ya Zanzibar inawezekana kujenga daraja baina ya Unguja na Pemba

Mbwa wapumbavu oyeee🤣🤣🤣
 
tpaul hivi Pemba siyo sehemu ya Zanzibar? Mbona Samia huwa haendi huko wala kufanya uwekezaji huko?

Nashauri., Samia amuige Magufuli kwa kuwajengea wananchi wa nchi ya Zanzibar daraja la kuunganisha Pemba na Unguja ili kurahisisha usafiri baina ya hivi visiwa.

Imewezekana daraja la Kigongo - Busisi na huko nchi ya Zanzibar inawezekana kujenga daraja baina ya Unguja na Pemba

Mbwa wapumbavu oyeee🤣🤣🤣
Huyu mama ni mbaguzi hata kuliko watanganyika. Namshangaa sana.
 
@tpaul hivi Pemba siyo sehemu ya Zanzibar? Mbona Samia huwa haendi huko wala kufanya uwekezaji huko?
Kote huko uwekezaji unatekelezwa mkuu..

Pia soma hii..
 
Kwani muungano umevunjika hadi wazanzibar wasiruhusiwe kumiliki na kutumia rasilimalii za Tanganyika? Unajua nyie watanganyika kinachowaponza na kitakachowaumiza ni roho ya chuki na ubaguzi. Mbona nyie mnatumia bahari ya Zanzibar bure? Punguza chuki mkuu.
Hizi ni mbinu za wazanzibar kutuibia wa Tanganyika,wa Tanganyika tunathaminiwa na wazanzibar na wazanzibar kuutambua Muungano ni pale wanapotaka kutuibia lakini uhalisia wa muzanzibar raslimari zote za Zanzibar ni za wazanzibar wenyewe suala la muungano kwa raslimari za Zanzibar muungano haupo Mali za wazanzibar ni wazanzibar,muungano upo kwenye raslimari za wa Tanganyika.

Mtanganyika Zanzibar hata kipande cha ardhi haruhusiwi kumiliki wakati wazanzibar ni haki kwao kumiliki ardhi Tanganyika,wamasai Zanzibar hawaruhusiwi kutembea na fimbo na siyo kwamba tunawachukia wazanzibar ila kwenye ukweli,ukweli usemwe kwakuwa wazanzibar wanaajiriwa Tanganyika hata kwenye wizara ambazo siyo za muungano wazanzibar ni mawaziri wakati katika serekali ya Zanzibar na wizara zake wa Tanganyika hawaajiriwi.
 
Kweli kutesa kwa zamu. Huku bara naona ujenzi wa barabara ni kama ume stuck kabisa
Yap,
Tatizo lingine ni Tanganyika kukopa mikopo mikubwa kwa ajili ya Zenji kutumia, halafu inalipwa na Tanganyika pekee..
tpaul
 
Yap,
Tatizo lingine ni Tanganyika kukopa mikopo mikubwa kwa ajili ya Zenji kutumia, halafu inalipwa na Tanganyika pekee..
tpaul
Hii mikopo ni midogo sana ukilinganisha na mikopo aliyokopa magufuli kujenga Chato.
 
Astafaghallah! Nyie majitu wa bara ndio mnakula hawo wadudu ndio maana mmekuwa na roho mbaya za kudhulumu rasilimali za wazanzibar bila huruma.
Kwani anayewaongoza pande zote ni mtu wa bara? Kula kitimoto upate afya ya akili
 
Huu muungano mbona watu wanaupenda sana ?

Na kila upande una malalamiko.

Kwanini mambo yasirudi kama hapo pichani kila mmoja aanze upya, kwani lazima watu waungane?
Screenshot_20240502_205332_Chrome.jpg
 
Muungano ambao sehemu moja inanufaika sio Muungano huo
 
Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! 😆😆😆
Haya ndiyo mambo ambayo wazanzibar hawataki. Magufuli katumia mabilioni ya fedha kujenga kwao lakini yeye anakuja kutumia peanuts kujenga stadium uchwara wakati rasilimali za nchi zinatakiwa kunufaisha pande zote mbili za muungano
 
Huyu Hajawahi kuwa Serious.
Utaona mradi gani wa maana ataanzisha mwenyewe katika utawala wake baada ya kumaliza SRG.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.

Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport,,barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.

Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?

Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?

Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama. Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama.

Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?

Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Mbona mnamchanganya sasa, mlitaka maendeleo yapelekwe wapi? pemba, unguja au arabuni?
 
Mbona mnamchanganya sasa, mlitaka maendeleo yapelekwe wapi? pemba, unguja au arabuni?
Tunataka maendeleo yapelekwe ,,Zanzibar na Rais Samia kwa ukubwa uleule ambao Magufuli alipeleka Chato.
 
Back
Top Bottom