Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais China.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022.


================

5c16cc35-69d3-4700-b2c0-dd7a65a30a8c.jpg


Kufahamu ziara nyingine za rais Samia tangu aingie madarakani soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Mar 2021
 
Kukamilisha deal la Bagamoyo port kwa hisani ya kupewa misaada,hakuna taifa lililoendelea kwa kupewa misaada, inalemaza.

China imekuwa super power kwa kufanya kazi kwa bidii,sio uzururaji na kutembeza bakuri
 
Mama katika ziara zako huko Mashariki ya mbali usilisahau Jeshi letu kulifanyia Shopping.
 
Baada ya hiyo ziara utaskia china yaipa Tanzania mkopo wa mashariti nafuu ikiambatana na vijimisaada
 
Tunaomba tunaombaaa tunaombaaa ee jamani raha kupewa hisani
 
Back
Top Bottom