Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

View attachment 2405108
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022.


================

China, kuna corona sana kwa sasa, inawezekana Dr Mpango naye akalamba dume.
 
Majuzi huyu jamaa alitolewa nje kwenye mkutano wa chama chao cha Kikomunisti sijui alifanya nini? Unaweza kukuta sasa hivi amefungiwa nyumbani!
Ndivyo zilivyo nchi za kijamaa. Hata Nyerere alimfungia Mwinyi Jumbe ndani kwa miaka 30+
 
Back
Top Bottom