Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Kukamilisha deal la Bagamoyo port kwa hisani ya kupewa misaada,hakuna taifa lililoendelea kwa kupewa misaada, inalemaza.

China imekuwa super power kwa kufanya kazi kwa bidii,sio uzururaji na kutembeza bakuri
 
Mama katika ziara zako huko Mashariki ya mbali usilisahau Jeshi letu kulifanyia Shopping.
 
Baada ya hiyo ziara utaskia china yaipa Tanzania mkopo wa mashariti nafuu ikiambatana na vijimisaada
 
Tunaomba tunaombaaa tunaombaaa ee jamani raha kupewa hisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…