Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

WhatsApp Image 2023-08-14 at 16.56.56.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia pamoja na ujumbe wake katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

WhatsApp Image 2023-08-14 at 16.56.52.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Wanasheria Wanawake wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) pamoja na Wanasheria Wanawake wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

WhatsApp Image 2023-08-14 at 16.57.08.jpeg
 
Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.

Piga kazi mama Watanzania wanakukna na wanakuelewa sana!

Haters ukiwasikiliza nakuapia hutopiga hatua yoyote ya maendeleo......yaani hata moja hutopiga!! Haki ya Mungu nakupia. Hapa tu tayari washaanza kulalamika, unafikiri kuna nini utakachofanya wasilalamike?!!!!
 
Kwani mtu akipewa hati ya kiraka na serikali yake na ni mtanzania kuna ubaya gani
 
Back
Top Bottom