Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia Suluhu Hassan amemzawadia Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma gari aina ya Land Rover Discovery 4 lenye thamani ya shilingi milioni 100 ili limsaidie kwenye shughuli zake za kidini.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amemkabidhi Sheikh Shaaban gari hilo leo Ijumaa baada ya kumalizika kwa swala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha leo Oktoba 25, 2024.
Wakati wa kukabidhi gari hilo RC Makonda amenukuliwa akisema yafuatayo “Huyu Baba yetu na Sheikh wetu wa Mkoa alikuja siku moja pale ofisini nikamwambia Baba nikusindikize, tukaenda mpaka tukatoka kwenye geiti nje naitafuta gari sikuiona, mwisho nikamuona anahangaika kupiga simu ‘leta huku gari leta’......alivoleta ile gari nilivyoiona moyo wangu uliingia huzuni nikasema hii gari ndio itakua ya mwanzo na mwisho kuitumia”
“Nikasema kwakuwa mimi sina pesa lakini ninae Mungu anaeweza kuniwezesha, nikampigia simu Daktari Samia Suluhu Hassan akasema hivi Viongozi wa dini we Mtoto unawapenda eeh? sijakaa sawa siku ya pili akapatikana Kijana akaniletea pesa kwahiyo leo nimekuja kumkabidhi Sheikh wangu wa Mkoa gari lake atakalokuwa analitumia kama mali yake, namshukuru sana Daktari Samia” - RC Makonda.
FaizaFoxy usimsumbue shehe kuomba lift.

Mbona alijenga shule zaidi ya 1000Mashimk ya vyoo mashuleni, tunasubiri msaada toka kwa mataifa ya nje.
Nchi ya kisenge saana hii

Natabiri, Makonda atachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini, wana Arusha hawana iyana, watampa kura nyingi tu. Atakuwa Mbunge na mama atampa uwaziri. Hii itakuwa safari yake mpya kuelekea ofisi kubwa. 25.10.2024,9:17Rais Samia Suluhu Hassan amemzawadia Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma gari aina ya Land Rover Discovery 4 lenye thamani ya shilingi milioni 100 ili limsaidie kwenye shughuli zake za kidini.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amemkabidhi Sheikh Shaaban gari hilo leo Ijumaa baada ya kumalizika kwa swala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha leo Oktoba 25, 2024.
Wakati wa kukabidhi gari hilo RC Makonda amenukuliwa akisema yafuatayo “Huyu Baba yetu na Sheikh wetu wa Mkoa alikuja siku moja pale ofisini nikamwambia Baba nikusindikize, tukaenda mpaka tukatoka kwenye geiti nje naitafuta gari sikuiona, mwisho nikamuona anahangaika kupiga simu ‘leta huku gari leta’......alivoleta ile gari nilivyoiona moyo wangu uliingia huzuni nikasema hii gari ndio itakua ya mwanzo na mwisho kuitumia”
“Nikasema kwakuwa mimi sina pesa lakini ninae Mungu anaeweza kuniwezesha, nikampigia simu Daktari Samia Suluhu Hassan akasema hivi Viongozi wa dini we Mtoto unawapenda eeh? sijakaa sawa siku ya pili akapatikana Kijana akaniletea pesa kwahiyo leo nimekuja kumkabidhi Sheikh wangu wa Mkoa gari lake atakalokuwa analitumia kama mali yake, namshukuru sana Daktari Samia” - RC Makonda.
FaizaFoxy usimsumbue shehe kuomba lift.
Mashimk ya vyoo mashuleni, tunasubiri msaada toka kwa mataifa ya nje.
Nchi ya kisenge saana
Hautoi sadaka kaka sasa shekhe atapataje usafiri?Mashimk ya vyoo mashuleni, tunasubiri msaada toka kwa mataifa ya nje.
Nchi ya kisenge saana hii
Mafuta itabidi anunuliwe na serikali.Wakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.
Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa namna hii mwenzangu na mimi atakuwa na nafasi ya kushindana na mtu kama huyu? TUNAFANYAJE KUMALIZA HAYA? Kwa kuendelea kuwa chawa na kulalamika?
Narusha swali kwenu Wakuu.
Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.
Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.![]()
Elezea viashiria vya Rusha ulivyoviona kwa miwani yako ya Mbao?Wakuu,

Aisee,
Ungetupia picha ya gari husika
Badilisha hiyo simu yako...........inawezekana hata tarehe bado yako iko mwezi wa sabaAisee,
Ungetupia picha ya gari husika basi
kwahiyo hili nalo linaudhi ndrugo zango?
ila lile la kuchangia wahalifu watoke jela halina tatizo wala lile la kuchangia yule ombaomba kibaraka wa kimataifa sio rushwa..
kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo rushwa right ?[emoji1787]
Yes,Kama ni kweli, basi ni Matumizi mabaya ya hela zetu walipa kodi.
Najua hana ubavu wa kutoa hiyo hela (100m) mfukoni mwake ni hela zetu hizo.
Unazongelwa wewe hazikuwahi kuwa hela za umma ni kutoka kwa mashabiki na wanachama wao. CAG hawezi hata kuzihoji kabisa.
Sadaka ni nini?Hautoi sadaka kaka sasa shekhe atapataje usafiri?
Ujui ndio maana wenzako wamempa gari wewe umebaki na malalamiko tuSadaka ni nini?
Acha kukurupuka wewe, mwanzo hakukuwa na picha hata moja, mleta uzi atakuwa ameweka baadaye .Badilisha hiyo simu yako...........inawezekana hata tarehe bado yako iko mwezi wa saba
Samahani mkuu, unaweza ukaweka picha ya Land Rover ili nasisi huku kijijini Magilingimba tuone linavyo fanana...?
ishatoa pia kwenye Kanisa mojawapo kuchangia Ujenzi !kwahiyo hili nalo linaudhi ndrugo zango?
ila lile la kuchangia wahalifu watoke jela halina tatizo wala lile la kuchangia yule ombaomba kibaraka wa kimataifa sio rushwa..
kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo rushwa right ?🤣