makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hujajibu swali.Ujui ndio maana wenzako wamempa gari wewe umebaki na malalamiko tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali.Ujui ndio maana wenzako wamempa gari wewe umebaki na malalamiko tu
EEEeeeenHEEEEeeeeee!Wakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.
Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa namna hii mwenzangu na mimi atakuwa na nafasi ya kushindana na mtu kama huyu? TUNAFANYAJE KUMALIZA HAYA? Kwa kuendelea kuwa chawa na kulalamika?
Narusha swali kwenu Wakuu.
Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.
Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.![]()
Na Makonda itakuwa amewachangisha Wananchi wake vibopa wa Chuga ili kumfurahisha Mkuu !Hiyo hela katoa Makonda, hizo ni drama tupu
hiyo si rushwa kwasababu ndiko anakoabudu mtoa hoja 🐒Al
ishatoa pia kwenye Kanisa mojawapo kuchangia Ujenzi !
150m. Right ???!!
Nani kama Mama ?? 😳
Mbowe àlipopewa mil 150 na Sàmia apeleke kanisani KKKT ulianza Sunday School??Nianze madrasa sasa
Only inTzWakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.
Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa namna hii mwenzangu na mimi atakuwa na nafasi ya kushindana na mtu kama huyu? TUNAFANYAJE KUMALIZA HAYA? Kwa kuendelea kuwa chawa na kulalamika?
Narusha swali kwenu Wakuu.
Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.
Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.![]()
Una kobazi?Nianze madrasa sasa
Ndo mahala pakeUna kobazi?
Sasa sunday school na sharafa zangu nmetia hinnahMbowe àlipopewa mil 150 na Sàmia apeleke kanisani KKKT ulianza Sunday School??
Hawawazi kufungua shule, hospital nk...awe anamuwekea na mafuta kabisa ikibidiWakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.
Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa namna hii mwenzangu na mimi atakuwa na nafasi ya kushindana na mtu kama huyu? TUNAFANYAJE KUMALIZA HAYA? Kwa kuendelea kuwa chawa na kulalamika?
Narusha swali kwenu Wakuu.
Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.
Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.![]()
Ma shaa Allah.Wakuu,

Huyu hajawahi kuwa shekhe mkuu wa Tanzania ?Sheikh Shaaban Bin Juma
Tukienda kwenye "byuro di chenji" hizo ni kura toka kwa waisilamu wa Arusha na watakaoguswa mikoa mingine.View attachment 3135332
Rais Samia Suluhu Hassan amemzawadia Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma gari aina ya Land Rover Discovery 4 lenye thamani ya shilingi milioni 100 ili limsaidie kwenye shughuli zake za kidini.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amemkabidhi Sheikh Shaaban gari hilo leo Ijumaa baada ya kumalizika kwa swala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha leo Oktoba 25, 2024.
Wakati wa kukabidhi gari hilo RC Makonda amenukuliwa akisema yafuatayo “Huyu Baba yetu na Sheikh wetu wa Mkoa alikuja siku moja pale ofisini nikamwambia Baba nikusindikize, tukaenda mpaka tukatoka kwenye geiti nje naitafuta gari sikuiona, mwisho nikamuona anahangaika kupiga simu ‘leta huku gari leta’......alivoleta ile gari nilivyoiona moyo wangu uliingia huzuni nikasema hii gari ndio itakua ya mwanzo na mwisho kuitumia”
“Nikasema kwakuwa mimi sina pesa lakini ninae Mungu anaeweza kuniwezesha, nikampigia simu Daktari Samia Suluhu Hassan akasema hivi Viongozi wa dini we Mtoto unawapenda eeh? sijakaa sawa siku ya pili akapatikana Kijana akaniletea pesa kwahiyo leo nimekuja kumkabidhi Sheikh wangu wa Mkoa gari lake atakalokuwa analitumia kama mali yake, namshukuru sana Daktari Samia” - RC Makonda.