Pre GE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

CCM wanaamini genuinely kuwa wao ndiyo wenye akili zaidi hapa Tanzania.

Bans, Yonda - zile imani zetu ndiyo zinavyoendelea kusomeka.
 
 
 
Natabiri, Makonda atachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini, wana Arusha hawana iyana, watampa kura nyingi tu. Atakuwa Mbunge na mama atampa uwaziri. Hii itakuwa safari yake mpya kuelekea ofisi kubwa. 25.10.2024,9:17
 
Mafuta itabidi anunuliwe na serikali.
 
Awamu hii bhana, utadhani tupo Afghanistan!
 
Elezea viashiria vya Rusha ulivyoviona kwa miwani yako ya Mbao?

President Samia ni Muslim ulitaka apatiwe ndugu Robot?
 
kwahiyo hili nalo linaudhi ndrugo zango?

ila lile la kuchangia wahalifu watoke jela halina tatizo wala lile la kuchangia yule ombaomba kibaraka wa kimataifa sio rushwa..

kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo rushwa right ?[emoji1787]

Kama ni kweli, basi ni Matumizi mabaya ya hela zetu walipa kodi.
Najua hana ubavu wa kutoa hiyo hela (100m) mfukoni mwake ni hela zetu hizo.

Unazongelwa wewe hazikuwahi kuwa hela za umma ni kutoka kwa mashabiki na wanachama wao. CAG hawezi hata kuzihoji kabisa.
 
Yes,
hela ya umma inatumika hadharani kwa shekhe ambae pia ni mwananchi mlipa kodi. Tatizo liko wapi? au chuki binafsi tu gentleman. wakichangiwa unaowapenda haina Tatizo right?πŸ’
 
Badilisha hiyo simu yako...........inawezekana hata tarehe bado yako iko mwezi wa saba
Acha kukurupuka wewe, mwanzo hakukuwa na picha hata moja, mleta uzi atakuwa ameweka baadaye .

Angalia hata huyu hapa chini (post #14) pia aliomba picha iwekwe.
πŸ‘‡
Samahani mkuu, unaweza ukaweka picha ya Land Rover ili nasisi huku kijijini Magilingimba tuone linavyo fanana...?
 
Al
kwahiyo hili nalo linaudhi ndrugo zango?

ila lile la kuchangia wahalifu watoke jela halina tatizo wala lile la kuchangia yule ombaomba kibaraka wa kimataifa sio rushwa..

kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo rushwa right ?🀣
ishatoa pia kwenye Kanisa mojawapo kuchangia Ujenzi !
150m. Right ???!!
Nani kama Mama ?? 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…