Pre GE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwalimu Nyerere asingekubaliana na utamaduni huu wa kuungaunga maneno ya kuhalalisha rushwa, bahati mbaya kundi hili linajuana na linakubaliana kwa kila jambo.
 
Hii ni rushwa ili apate wapiga kura.Hivi Takukuru Huwa wanakazi Gani?kama hawaoni hii kuwa ni rushwa Bora wafutwe kabisa ili tusiwe na Takukuru
 
Zawadi inatolewa kipindi muafaka kuelekea chaguzi mbalimbali, unafikiri utawaambia nini waumini hapo kuhusu mama! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
hiyo si rushwa kwasababu ndiko anakoabudu mtoa hoja πŸ’
Ndio maana huwa sometimes najiuliza hivi kweli Watanzania wanajua hasa nini wanakitaka ???!!

Sasa hivi ukiwaanzishia thread ya Hamas na Israel wataanza kuchambana humo japo walikuwa pamoja kwenye masuala ya CCM na Chadema πŸ˜…πŸ˜‚ πŸ˜…
 
KWanini hakumpa Boeing moja? Sheikh apewe kigari, siyo sawa kabisa.
Kweli thamani ya hicho kigari haifiki hata moja ya nane (1/8) ya zile pesa alizotoa Kusaidia Kanisa fulani 😳
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…
 
Kama mimi nauza nawatolea sadaka waislam wenye mahitaji
 
Pia lile eneo pale mashujaa waislamu wamelipewa buree kabisa. Takbiir.
Ni Imani yangu pia wakristo nao watapewa maeneo Ili kuleta usawa...lile eneo la st Theresa ni Mali Yao na sio kwamba serikali imewapa...lakini mashujaa ni eneo la serikali na wamepewa na sio kitu kibaya MAANA kazi ya Mungu itafanyika pale
 
Kanisa lipi??
Ingia Google uone amechangia Kwenye Kanisa ngapi tofauti tofauti Mkuu !

Malumbano ya Udini Udini yataturudisha nyuma Bandugu !
Tuwe tunajadili vitu vya maana kama KATIBA mpya na mambo ya Uchumi !
 
kwahiyo hili nalo linaudhi ndrugo zango?

ila lile la kuchangia wahalifu watoke jela halina tatizo wala lile la kuchangia yule ombaomba kibaraka wa kimataifa sio rushwa..

kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo rushwa right ?🀣
Hiyo Mil 100 raisi kaitoa wapi?
Hayo matumizi yake yalipitishwa na bajeti gani?

Halmashauri sisi tukifanya WEZI ila wao WAKUBWA neema na fursa za kubaki kwenye nafasi zao.

Siasa MBWAAAA KABISAAA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hiyo Mil 100 raisi kaitoa wapi?
Hayo matumizi yake yalipitishwa na bajeti gani?

Halmashauri sisi tukifanya WEZI ila wao WAKUBWA neema na fursa za kubaki kwenye nafasi zao.

Siasa MBWAAAA KABISAAA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
hayo ni matumizi ya kawaida kwa manufaa ya wanainchi..

au ulitaka atumie yale mamilioni alochangiwa na wadau kama vile walimu kuchukulia fomu ya kugombea urasi?πŸ’
 
Watakuwa wanamuwekea wese na kumfanyia service

Ova
 
hayo ni matumizi ya kawaida kwa manufaa ya wanainchi..

au ulitaka atumie yale mamilioni alochangiwa na wadau kama vile walimu kuchukulia fomu ya kugombea urasi?πŸ’
Ila sisi wa chini tukitumia???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…