PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mungu gani akufahamu wewe kunguni mwandamizi?
Labda Zeus
sihusiki na ushirikina huo gentleman,

ni Mungu pekee ndie ninae muamini na ndie alieniumba mimi Dr.Samia Suluhu Hassan na nyie mazombie wachache wakutufurahisha 🐒
 
sihusiki na ushirikina huo gentleman,

ni Mungu pekee ndie ninae muamini na ndie alieniumba mimi Dr.Samia Suluhu Hassan na nyie mazombie wachache wakutufurahisha 🐒
Zombi mama na baba yako waliozaa kunguni mwandamizi, bora baba yako angejichukulia sheria mkononi kuepusha hii laana.
 
"kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji."
Hizo fedha amezitoa mfukoni mwake au ni tozo za wananchi?
Ni wajibu wa serikali kusaidia kazi za kichungaji? Basi asaidie pia na madhebeu zingine kama Hindu, Budha, Ahmadia, atheism, Animism na kadhalika !!
UFUJAJI WA FEDHA ZA UMMA KATIKA KAMPENI YA UCHAGUI KUSAKA KURA
 
Kama mbunge tu ana pesa za mfuko wa jimbo sasa rais atakosaje

kuna 10mil kila rais anapofanya ziara(yaan nikibunda anachotembea nacho kwenye magar),kuna wakat huwa hazitumii
Kuna umuhimu wa kujua stahiki zote anazopata mtumisho wetu, ili tupime kama anastahili, tunampunja au tuna mpa ziada!

Mshahara wa Trump unajulikana, wa Samia ni siri!
 
Haya acha tuone itakavyo kuwa ila hakuna vita ni hekima zao zitumike vyema
Mkuu RC hawana uwezo wa kurudisha pesa.
Tafsiri yake ni kuweka resistance kwa Rais, na hawako tayari kwa hilo.
 

Wakatoliki hatuongeki no reform no election
 
hawana dhiki kama wale wengine ,bi mkubwa anazidi kwenda chaka
 
Silence ya Baba Askofu imelipiwa mapema kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…