PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
Kama unayo yasema ni kweli angezikataa huzo hela.
 
Zombi mama na baba yako waliozaa kunguni mwandamizi, bora baba yako angejichukulia sheria mkononi kuepusha hii laana.
Calm down gentleman 🤣

na uache uvivu sasa, unyonge wa kiuchumi ni kitu mbaya sana.. unajikuta na hasira kupindukia bila sababu yoyote šŸ’
 
Ni kweli Rais hapaswi kutoa toa fedha kama njugu lakini kusema kanisa lilirudishe wakati pale zimepokelewa zawadi mbalimbali ikiwemo hiyo ya Mgeni Rasmi tena mkatoliki mwenzetu haitakuwa sawa utakuwa ni ubaguzi.Nadhani muktadha wa ilivyotolewa ichukuliwe na pongezi ya mgeni rasmi na itawasaidia watu wa bagamoyo.
 
Raisi akifanya vizuri apongezwe! Tusimvunje moyo kwa kupinga kila kitu.
 
Kanisa katoriki Kenya si walimrudishia Rais Ruto pesa aliyowachangia. Ningekuwa ask Musomba hiyo 20m ningezirudisha kwa Rais kwa kununua madawati au kujenga darasa shule ya msingi niliyosoma.
 
Uzuri wa mapadre wako wengi, ni km kulinda bahari kawe halafu kigamboni watu wanaendelea kuogelea…!!
Au kuziba shimo la panya kwa mkate.. 😹
 
Sijapata mahubiri yake huyo askofu, kuna mahali amelaani kushambuliwa kwa padri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…