Na anaupiga kweliRais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
ACP- assistant commissioner of PoliceUnaweza kuandika virefu vyake?
Hapo ndipo tutakata mzizi wa fitina
Utumishi wa Umma upo kwa mujibu wa sheria, miongozo, kanuni na taratibu. Rais huapa kwa kutumia katiba na kumuomba Mungu amsaidie ili afuate katiba ambayo inabeba sheria zote ikiwemo haki za watumishi.Haki na sheria ni vitu tofauti kama mbingu na ardhi, magu alikuwa anapandisha cheo kama alivyo fanya mfalme wa misri kwa yusufu au mfalme nebukadreza alivyo tafuta watu wenye akili na hekima nchi nzima ili awape vyeo vya juu, hivyo JPM alikuwa aangalii sheria ana angalia uwezo ,ufanisi uzalendo ,akili ,bidii ya kazi,na mambo kama hayo , wakati mama ana angalia ,ukabila ,udini ,uchama,uteam msoga, kama unachukia masikini wewe cheo ni chako, kama unatuhuma za ufisadi cheo ni chako ,kama wewe ni mnafiki cheo ni chako ,na katika yote ,MADUI WAKUBWA SANA WA MAMA NI WAZALENDO HAO INAFANYIKA JUU CHINI KUWA POTEZA KWENYE MAMLAKA ZA KIUONGOZI,
Watumishi wa tz haki yenu ya kwanza ni kufukuzwa kazi au kushushwa mishahara amna ufanisi wowote kazini mmekalia ushirikina tu na majungu ,Utumishi wa Umma upo kwa mujibu wa sheria, miongozo, kanuni na taratibu. Rais huapa kwa kutumia katiba na kumuomba Mungu amsaidie ili afuate katiba ambayo inabeba sheria zote ikiwemo haki za watumishi.
Ukisema jiwe alifata haki na kupuuza sheria, unakuwa unachekesha kwa sababu sheria za utumishi wa Umma zinaelezea haki na wajibu wa watumishi.
Sasa iweje jiwe afuate haki aache sheria?
Hizo haki ni zipi zisizojulikana?
Sijui nchi ilikuwa inaenda wapi!
Hii mada siyo size yako.Watumishi wa tz haki yenu ya kwanza ni kufukuzwa kazi au kushushwa mishahara amna ufanisi wowote kazini mmekalia ushirikina tu na majungu ,
Yani nyinyi wapumbavu mnawaza kupandishwa mishahara wakati ni watumishi wabovu mmejaa upumbaavu toka visiginoni hadi utosini [emoji2957][emoji2957][emoji2957]what is this shit**** mnawaza kuvuana chu*p 24hrs tu basiHii mada siyo size yako.
Umeruhusu hizia zako kuteka akili yako na akili imeteka mikono yako na mikono inaandika matusi.Yani nyinyi wapumbavu mnawaza kupandishwa mishahara wakati ni watumishi wabovu mmejaa upumbaavu toka visiginoni hadi utosini [emoji2957][emoji2957][emoji2957]what is this shit****
DuhWatumishi wa tz haki yenu ya kwanza ni kufukuzwa kazi au kushushwa mishahara amna ufanisi wowote kazini mmekalia ushirikina tu na majungu ,
DuhYani nyinyi wapumbavu mnawaza kupandishwa mishahara wakati ni watumishi wabovu mmejaa upumbaavu toka visiginoni hadi utosini [emoji2957][emoji2957][emoji2957]what is this shit**** mnawaza kuvuana chu*p 24hrs tu basi
Mzee jiite Mohamed Nassoro uone matunda yakeAmerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
Kuimba kupokezana. Wakati wa Magufuli watu walikuwa wanalalamika UDINI na kwamba Waislam hawateuliwi, mlikuwa mnawatukana humu jamvini. Leo imegeuka mnaanza kulia. Ndio muone athari za ubaguzi wa kidini.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Mi naenda kuapa niitwe Maulid MwinyiAwamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Hakuna wakristo huko wenye sifa?zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini
Huko nyuma ilikuaje kwa tawala zilizopita?Ataonaje aibu wakati ana special religious obligation ili aitimize kabla ya 2025?
wanapika na kunywa gongoHakuna wakristo huko wenye sifa?
πDuh
Ova
Nilimfahamu kipindi kile cha akina Tibaigana na nikampenda kuanzia pale. Tibaigana was my favourite, sijui yuko wapi sasa hivi! Alikuwa anaongea taratibu tu, vitisho hamna, lakini mchezo hapanaTunampenda Simon Nyakorro Sirro kwa sababu yy ndiye kakomesha ujambazi wa kutisha hapa nchini. Mengineyo ni mapungufu ya wana wa Afam
Watu tunafikiria tumpe 10 mingine wewe bado unawaza aondoke 2025. Basi mtasubiri sana!! πππTz huku polisi siro kazi ishamshimda anahangaika na zanzibar yani huyu 2025 amalize aondoke
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app