Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Asilimia kubwa ya Askari Wa jeshi la polisi sio waadilifu wananyanyasa Sana raia Ila kwa huyo afande Awadhi ni mchapakazi Na very humble guy anastahili hata kuwa IGP
Sio kweli!Askari walio uwa mtwara wote wagaratia
Mbona hata sasa ni hivyo?Waislam wapo poa wanataka watu wote wawe na furaha sio wagalatia wana roho mbaya wabinafsi udino na ukabira tawara zote za wakristo tunaishi kwenye nchi yetu kama digidigi
Na yule Wambura anaswali msikiti gani baada ya kurushwa hivyo vyeo?Infwakt huyu ndio atakua IGP kesho kutwa.
Ila waislamu naona wanaangaliwa kwa jicho la kipekee. Huyu Ni wa pili kufurushwa vyeo baada ya yule white
Hakuna na kama wapo wataje, na sio kila mkristo ni Polisi huko Unguja na sio kila Polisi anastahili kupandishwa vyeoHakuna wakristo huko wenye sifa?
Wewe unaye nishutumu kuandika matusi je wewe ni mtakatifu ? Isijekuwa wewe ndiye unatafuna wake za watu na kueneza ukimwi mitaani kisha unajiona mtimilifuUmeruhusu hizia zako kuteka akili yako na akili imeteka mikono yako na mikono inaandika matusi.
Haupo sawa!
Sisi tunataka viongozi bora na wazalendo siyo muislamu wala mkristo,tatizo mama anachagua makapi na kutupa nganoKuimba kupokezana. Wakati wa Magufuli watu walikuwa wanalalamika UDINI na kwamba Waislam hawateuliwi, mlikuwa mnawatukana humu jamvini. Leo imegeuka mnaanza kulia. Ndio muone athari za ubaguzi wa kidini.
Huyu si mzenji ni mbaraIla tupunguze maneno. Huyu aliyeteuliwa ni Mzenji, na bahati imemdondokea kapata huo uteuzi. Je mlitaka mama amlete m-Bara akaongoze Polisi visiwani?
Si kwa ubaya lakini....Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
SawaWewe unaye nishutumu kuandika matusi je wewe ni mtakatifu ? Isijekuwa wewe ndiye unatafuna wake za watu na kueneza ukimwi mitaani kisha unajiona mtimilifu
Kwani kuna ubaya gani kama ni jambo la muungano?.au huu muungano niwa chako chetu ila changu changu?Ila tupunguze maneno. Huyu aliyeteuliwa ni Mzenji, na bahati imemdondokea kapata huo uteuzi. Je mlitaka mama amlete m-Bara akaongoze Polisi visiwani?
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aib
Naona watu wengi SNA wanamsifiaAsilimia kubwa ya Askari Wa jeshi la polisi sio waadilifu wananyanyasa Sana raia Ila kwa huyo afande Awadhi ni mchapakazi Na very humble guy anastahili hata kuwa IGP
Labda unaongelea vetting kwenye nchi za wengine uko dunian ila sio hii.kungekua nahuo umakini unaouzungumzia nchi isingekua hivi ilivyo leo.Teuzi za rais zinapitia vetting kibao ikiwamo watu walioko kwenye mfumo ambao dini kwao sio kigezo cha msingi maana dini haina kanuni leo unaweza lala msabato kesho mke akikuboa ukaamka muanglikana sasa nchi haiendeshwi hivyo mwacheni mama afanye kazi na timu anayoiamini.
Nafikiri hujanielewa. Nchi hii ni kweli isemavyo kuwa ni ya dini zote. Ninachokizungumzia hapa ni kule kuonyesha kuwa ktk imani yako wewe kama kiongozi unapoonyesha kuwa HUNA IMANI na watu wa dini fulani. Hiyo ndo pointi yangu mkuu.Huko nyuma ilikuaje kwa tawala zilizopita?
Acha dawa iwapenye, nchi ni watu wa dini zote
Huko nyuma ilikuaje kwa tawala zilizopita?
Acha dawa iwapenye, nchi ni watu wa dini zote
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Comments za kuchochea udini hazifai aisee, mimi ni mkristoAwamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Yaani wew dunia ya leo bado upo ktk udini duuh, tena hizi dini za kuletewaAwamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Tuliza mshono, wakati wa Magufuli hakuwahi kuteua hata 15% Waislamu katika teuzi zake zote hakuona aibu na watu walikaa kimyaAwamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu