Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Tupeni takwimu za Wateule wote aliofanya Mama kama tukikuta Waislam wanafika 40% tushirikiane kumchana kwa Udini?

Au tupeni makadirio yenu tujue Waislam hawatakiwi kuzidi % ngapi kwa mujibu wa takwimu elekezi zenu kupunguza malalamiko?
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
 
Huyu aliwahi kumkomalia Mke wa Waziri alieleta ujuaji hadi JPM akapendezwa nae
Asilimia kubwa ya Askari Wa jeshi la polisi sio waadilifu wananyanyasa Sana raia Ila kwa huyo afande Awadhi ni mchapakazi Na very humble guy anastahili hata kuwa IGP
 
Waislam wapo poa wanataka watu wote wawe na furaha sio wagalatia wana roho mbaya wabinafsi udino na ukabira tawara zote za wakristo tunaishi kwenye nchi yetu kama digidigi
Mbona hata sasa ni hivyo?
 
Infwakt huyu ndio atakua IGP kesho kutwa.
Ila waislamu naona wanaangaliwa kwa jicho la kipekee. Huyu Ni wa pili kufurushwa vyeo baada ya yule white
Na yule Wambura anaswali msikiti gani baada ya kurushwa hivyo vyeo?
 
Umeruhusu hizia zako kuteka akili yako na akili imeteka mikono yako na mikono inaandika matusi.

Haupo sawa!
Wewe unaye nishutumu kuandika matusi je wewe ni mtakatifu ? Isijekuwa wewe ndiye unatafuna wake za watu na kueneza ukimwi mitaani kisha unajiona mtimilifu
 
Kuimba kupokezana. Wakati wa Magufuli watu walikuwa wanalalamika UDINI na kwamba Waislam hawateuliwi, mlikuwa mnawatukana humu jamvini. Leo imegeuka mnaanza kulia. Ndio muone athari za ubaguzi wa kidini.
Sisi tunataka viongozi bora na wazalendo siyo muislamu wala mkristo,tatizo mama anachagua makapi na kutupa ngano
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Si kwa ubaya lakini....
Kwani ulitaka ateue mapadre na wachungaji? Kwenye hizo nafasi wanaenda kuadhimisha Misa Takatifu au ibada?
 
Ila tupunguze maneno. Huyu aliyeteuliwa ni Mzenji, na bahati imemdondokea kapata huo uteuzi. Je mlitaka mama amlete m-Bara akaongoze Polisi visiwani?
Kwani kuna ubaya gani kama ni jambo la muungano?.au huu muungano niwa chako chetu ila changu changu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aib

Asilimia kubwa ya Askari Wa jeshi la polisi sio waadilifu wananyanyasa Sana raia Ila kwa huyo afande Awadhi ni mchapakazi Na very humble guy anastahili hata kuwa IGP
Naona watu wengi SNA wanamsifia
 
Teuzi za rais zinapitia vetting kibao ikiwamo watu walioko kwenye mfumo ambao dini kwao sio kigezo cha msingi maana dini haina kanuni leo unaweza lala msabato kesho mke akikuboa ukaamka muanglikana sasa nchi haiendeshwi hivyo mwacheni mama afanye kazi na timu anayoiamini.
Labda unaongelea vetting kwenye nchi za wengine uko dunian ila sio hii.kungekua nahuo umakini unaouzungumzia nchi isingekua hivi ilivyo leo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huko nyuma ilikuaje kwa tawala zilizopita?

Acha dawa iwapenye, nchi ni watu wa dini zote
Nafikiri hujanielewa. Nchi hii ni kweli isemavyo kuwa ni ya dini zote. Ninachokizungumzia hapa ni kule kuonyesha kuwa ktk imani yako wewe kama kiongozi unapoonyesha kuwa HUNA IMANI na watu wa dini fulani. Hiyo ndo pointi yangu mkuu.
Huko nyuma ilikuaje kwa tawala zilizopita?

Acha dawa iwapenye, nchi ni watu wa dini zote
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu

Ndugu yangu nakuusia uwache tabia hii ya kutizama watu kwa rangi, dini au wanakotokea. Tabia hii ndio iliyopelekea mataifa mengine yameingia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Muhimu anaechaguliwa awe anauwezo wa kuongoza majukumu aliyopewa. Hebu wewe fikiri na utwambie, ulitaka achague mtu asokuwa na dini au nani hasa? Maana yeyote yule ataechuagukiwa aidha atakuwa anatoka mkoa fulani, ana dini fulani na ni mweupe au mweusi kama makaa!

Tizama anaechaguliwa kuwa ni mtanzania na sio kabila, dini au jinsia. Epuka kusema maneno ambayo huenda yakazuwa balaa bure.
 
Huyo aliyepandishwa cheo leo subiri baada ya siku chache utasikia Simon Sirro katenguliwa na kupangiwa kazi nyingine, afu huyo Mzanzibar anakuwa IGP mpya
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Yaani wew dunia ya leo bado upo ktk udini duuh, tena hizi dini za kuletewa
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Tuliza mshono, wakati wa Magufuli hakuwahi kuteua hata 15% Waislamu katika teuzi zake zote hakuona aibu na watu walikaa kimya
What goes around comes around
 
Back
Top Bottom