Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, amesema SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu.
Mpaka mwezi wa saba bajetiMshahara umeongezeka kwa million ngapi?
Watakua wanazingua basi Kama ni hivyoMpaka mwezi wa saba bajeti
Wacha uongo; murilo kwa kiha ni unyevu.Hongera sakap muriro, kwa kiha muriro ni mota wachu!
Tutarajie kulamba Teuzi kubwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).
Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Nadhani alifanya kazi nzuri kufyeka panyaroad,
Hongera sakap muriro, kwa kiha muriro ni mota wachu!
Nimeona pale kwenye kahawa mtaani kwao kigoma wanateta jambo.
Hongera tena afande.
Wacha uongo; murilo kwa kiha ni unyevu.
Hicho cheo anakunja 2.4MMshahara umeongezeka kwa million ngapi?
Akiwa kamishna kamili atakunja ngapi mkuu?Hicho cheo anakunja 2.4M
Dhana haiwezi kuwa mbali na "Moto".Mkimaliza mtuambia sasa maana ya Muliro ni ipi, maana hapa mnabishania 'Muriro' na 'Murilo'
Ni jiko.Mkimaliza mtuambia sasa maana ya Muliro ni ipi,
2.8M