Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Afute Panya Road wasisikike tena Dar.. Cheo na kazi iendelee zaidi ya awali..!! Panya Road wakirudi Dar, kushushwa cheo au demotion ni muhimu, kila la kheri afande Muliro.
 
Ni

Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:

1. Philip mpango
2. Katanga
3. Kafulila
4. Murilo
5. Mambo Sasa
6. Ndalichako

7. Machali
8. Dr fransis Michael
9. N.k
Ni Wajumbe wa kamati ya Ulinzi shirikishi (ndumba na ngai)!
 
Muliro akiongea anaonekana ana weledi sana wa kazi yake. Mimi rpc ninayemkubali kwa kuongea kwa busara ni Henry Mwaibambe wa Tanga, namkubali sana tangu akiwa rpc wa Geita.
 
Hata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]

Amebakiza miaka kama mingapi kustaafu ?
 
duu mbona wanafunzi walimpita mbali yaani ACP sasa ivi SACP awafikie wakina hamduni mpaka afike Deputy CP halfu ndio CP kamili
 
Bas mishahara yao n ya kawaida Sana wanamajukumu .makubwa sana ila mshahara kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Basic
Kuna Housing Allowance
Clothing Allowance
Investigation Allowance
Professional Allowance

Sasa hiyo hela si kitu. Anaweza asitumie hata mia. Heshima yako afande inaweza kuwa hata mara 10 ya mshahara wake.
 
Ni

Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:

1. Philip mpango
2. Katanga
3. Kafulila
4. Murilo
5. Mambo Sasa
6. Ndalichako

7. Machali
8. Dr fransis Michael
9. N.k
Mambo sasa ni wa kigoma au Rukwa?
 
Back
Top Bottom