Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Hata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]
60yrs now

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Watu wanalishana chai humu ila nadhani mshahara atakuwa kwenye milioni sita hivi au tano anyway just guessing ila milioni mbili huo mshahara nakataa japo mie sio Polisi
Mshahara wa DC ni milioni 3 na RC ni milioni 5, sasa je anaweza kuwazidi ma boss wake?
 
Hao watu huwezi wasikia hata siku moja wakilalamika mishahara midogo.
Kuna ndugu yangu ni RTO somewhere, kwa cheo chake salary ni 1.8m tu ila maendeleo aliyonayo sio ya nchi hii.huwa tunamuita Bakresa wa ukoo,maana vishida vyetu vidogo vidogo vya laki au elfu 50 anatutatulia fasta.
Kubambukiza watu kesi kukwepesha upelelezi na ulaji rushwa haitamuacha salama ,muepuke Sana huyu ndugu ysko na pesa zake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni



Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:

1. Philip mpango
2. Katanga
3. Kafulila
4. Murilo
5. Mambo Sasa
6. Ndalichako

7. Machali
8. Dr fransis Michael
9. N.k
Sasa unaongea kitu gani vlhvyo tuwatu wa Burundi ndio unasema kawaamini au chance imetokea ,subirini awamu nyingine mtabaki wawili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kamanda wa kanda maalumu ana 2.4 sawa na headmasta mwenye digrii aliyeanza kazi 1999!

Afisa elimu wa wilaya anaweza kumlipa ocd na ocs kisha akawalipa migambmn wa kituo kizima.

Anaanza kuishi kwa ujanja ujanza wa 10 per na kuuza uhamisho na vyeo.
 
Back
Top Bottom