Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).

Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Huyu naye si alikuwa dhidi ya chadema? au?
 
Nadhani alifanya kazi nzuri kufyeka panyaroad,

Hongera sakap muriro, kwa kiha muriro ni mota wachu!

Nimeona pale kwenye kahawa mtaani kwao kigoma wanateta jambo.

Hongera tena afande.
Eneo lake la kiutawala linamlazimu kupandishwa cheo...hata hivyo amechelewa kwani katika ofisi yake alikuwa na maafisa wenye rank kubwa kumzidi jambo ambalo sio zuri
 
Kumbuka wana chance kubwa sana za upigaji mkuu... mtu kama Muliro kukusanya 20M kwa mwezi ni kitu kifogo sana.
Hao watu huwezi wasikia hata siku moja wakilalamika mishahara midogo.
Kuna ndugu yangu ni RTO somewhere, kwa cheo chake salary ni 1.8m tu ila maendeleo aliyonayo sio ya nchi hii.huwa tunamuita Bakresa wa ukoo,maana vishida vyetu vidogo vidogo vya laki au elfu 50 anatutatulia fasta.
 
Ndo nimemwambia hapo juu... uniform alizovaa ni mtaji tosha.

Lakini inakatisha tamaa mtu wa cheo hicho kupata salary hiyo!
 
Ni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).

Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).

Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:

1. Philip mpango
2. Katanga
3. Kafulila
4. Murilo
5. Mambo Sasa
6. Ndalichako

7. Machali
8. Dr fransis Michael
9. N.k
 
Hata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]
 
Aisee
 
Wenzake wamefanya mission nyingi ndiyo maana wamefika alipo mapema. Yeye anategemea umri mrefu kazini. Ingawa siyo mbaya, alipofika si haba
 
Back
Top Bottom