Hata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]