kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Labda luten kanali,ila sina uhakika.Hv hicho cheo cha sasa Cha kamanda murilo , kwa JWTZ ni sawa na cheo gn ??!
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda luten kanali,ila sina uhakika.Hv hicho cheo cha sasa Cha kamanda murilo , kwa JWTZ ni sawa na cheo gn ??!
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Fuatilia vizuri ebuKigoma
Anatoka uvinza mpaka kwao napajuaFuatilia vizuri ebu
Sawa,huenda ana ndugu Rukwa basi maana akiwa rpc Dar tulikua tunapishana nae sana akitokea Rukwa.Anatoka uvinza mpaka kwao napajua
Anatoka kigoma. Haya majina ya mambosasa ni ya huko mara nyingiSawa,huenda ana ndugu Rukwa basi maana akiwa rpc Dar tulikua tunapishana nae sana akitokea Rukwa.
OkAnatoka kigoma. Haya majina ya mambosasa ni ya huko mara nyingi
Anakuwa na marurupu Gani!?
hao aliowapokea Depo 1998 wengi wao sasa hivi wana miaka 43-47,hivyo kwa harakaharaka yeye atakuwa ana miaka 55 na zaidi,ni Mkufunzi mzuri wa Criminal Laws, Criminal Procedures nkAmebakiza miaka kama mingapi kustaafu ?
Wakikujibu unitagMshahara umeongezeka kwa million ngapi?
Baada ya makato au kabla?2.8M
Mbona ndogo sanaHicho cheo anakunja 2.4M
IGP mwenyewe hana mshahara wa 6m.Watu wanalishana chai humu ila nadhani mshahara atakuwa kwenye milioni sita hivi au tano anyway just guessing ila milioni mbili huo mshahara nakataa japo mie sio Polisi
60yrs nowHata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]
60 nowhao aliowapokea Depo 1998 wengi wao sasa hivi wana miaka 43-47,hivyo kwa harakaharaka yeye atakuwa ana miaka 55 na zaidi,ni Mkufunzi mzuri wa Criminal Laws, Criminal Procedures nk
Mshahara wa DC ni milioni 3 na RC ni milioni 5, sasa je anaweza kuwazidi ma boss wake?Watu wanalishana chai humu ila nadhani mshahara atakuwa kwenye milioni sita hivi au tano anyway just guessing ila milioni mbili huo mshahara nakataa japo mie sio Polisi
Kubambukiza watu kesi kukwepesha upelelezi na ulaji rushwa haitamuacha salama ,muepuke Sana huyu ndugu ysko na pesa zakeHao watu huwezi wasikia hata siku moja wakilalamika mishahara midogo.
Kuna ndugu yangu ni RTO somewhere, kwa cheo chake salary ni 1.8m tu ila maendeleo aliyonayo sio ya nchi hii.huwa tunamuita Bakresa wa ukoo,maana vishida vyetu vidogo vidogo vya laki au elfu 50 anatutatulia fasta.
Sasa unaongea kitu gani vlhvyo tuwatu wa Burundi ndio unasema kawaamini au chance imetokea ,subirini awamu nyingine mtabaki wawiliNi
Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:
1. Philip mpango
2. Katanga
3. Kafulila
4. Murilo
5. Mambo Sasa
6. Ndalichako
7. Machali
8. Dr fransis Michael
9. N.k
Ukipanda ngazi au daraja la kiutumishi automatically na mshahara unapanda.Mshahara umeongezeka kwa million ngapi?