Huyu naye si alikuwa dhidi ya chadema? au?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).
Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Eneo lake la kiutawala linamlazimu kupandishwa cheo...hata hivyo amechelewa kwani katika ofisi yake alikuwa na maafisa wenye rank kubwa kumzidi jambo ambalo sio zuriNadhani alifanya kazi nzuri kufyeka panyaroad,
Hongera sakap muriro, kwa kiha muriro ni mota wachu!
Nimeona pale kwenye kahawa mtaani kwao kigoma wanateta jambo.
Hongera tena afande.
Bas mishahara yao n ya kawaida Sana wanamajukumu .makubwa sana ila mshahara kiduchu2.8M
Kumbuka wana chance kubwa sana za upigaji mkuu... mtu kama Muliro kukusanya 20M kwa mwezi ni kitu kifogo sana.Bas mishahara yao n ya kawaida Sana wanamajukumu .makubwa sana ila mshahara kiduchu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka awe mwanachama wa chadema?Huyu naye si alikuwa dhidi ya chadema? au?
Laki Tano tu,haizid 2.9 basicMshahara umeongezeka kwa million ngapi?
Pesa Ya Brush Ndiyo Tele HapoBas mishahara yao n ya kawaida Sana wanamajukumu .makubwa sana ila mshahara kiduchu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu huwezi wasikia hata siku moja wakilalamika mishahara midogo.Kumbuka wana chance kubwa sana za upigaji mkuu... mtu kama Muliro kukusanya 20M kwa mwezi ni kitu kifogo sana.
Mama si mwanademocrasia?Huyu naye si alikuwa dhidi ya chadema? au?
Ndo nimemwambia hapo juu... uniform alizovaa ni mtaji tosha.Hao watu huwezi wasikia hata siku moja wakilalamika mishahara midogo.
Kuna ndugu yangu ni RTO somewhere, kwa cheo chake salary ni 1.8m tu ila maendeleo aliyonayo sio ya nchi hii.huwa tunamuita Bakresa wa ukoo,maana vishida vyetu vidogo vidogo vya laki au elfu 50 anatutatulia fasta.
Kwenye mijadala kama hii fact hupingwa kwa fact na data. Kusema tu uongo haitoshi.
Mara elfu Samia kuliko yule nduliMama si mwanademocrasia?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).
Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).
Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP,) Camillius Wambura, imeeleza kuwa SACP Jumanne Muliro Jumanne amepandishwa cheo hicho kuanzia Februari 20, mwaka huu 2023.
Ni kidogo mkuu sio kifogoKumbuka wana chance kubwa sana za upigaji mkuu... mtu kama Muliro kukusanya 20M kwa mwezi ni kitu kifogo sana.
AiseeHata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]
Wenzake wamefanya mission nyingi ndiyo maana wamefika alipo mapema. Yeye anategemea umri mrefu kazini. Ingawa siyo mbaya, alipofika si habaHata hivyo amecheleweshwa sana,vijana wengi aliowapokea CCP wakiwa KURUTA mwaka 1998 na yeye akiwa Assistant Inspekta akawafundisha,wakamaliza DEPO na kuanza kazi,wengi wao wamepanda Vyeo mpaka kumfikia Cheo chake cha ACP na wengine wamempita na kumpita,mfano ni RPC Singida(ACP),RPC Tabora(ACP)RCO Tanga (ACP)na wengine wengi akiwemo Kaimu Kamanda wake wa Kanda Maalum ni ACP lakini ni kijana wake aliyempokea Depo 1998,waliomkuta na kumpita ndio hao nina CP Salum Hamduni,CP Awadhi nk,anyway Hongera kwake japo ndio kitakuwa Cheo cha kustaafia[emoji122]