Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

ELIMU,ELIMU,ELIMU
 
Kamanda wa kanda maalumu ana 2.4 sawa na headmasta mwenye digrii aliyeanza kazi 1999!

Afisa elimu wa wilaya anaweza kumlipa ocd na ocs kisha akawalipa migambmn wa kituo kizima.

Anaanza kuishi kwa ujanja ujanza wa 10 per na kuuza uhamisho na vyeo.
Acha BANG3 na stori za kwenye vijiwe vya kahawa wewe. Mshahara wa DC ni milioni 3 na RC ni milioni 5, huyo Afisa Elimu wa Wilaya anawezaje kuwazidi hao ma boss wake?
 
Acha BANG3 na stori za kwenye vijiwe vya kahawa wewe. Mshahara wa DC ni milioni 3 na RC ni milioni 5, huyo Afisa Elimu wa Wilaya anawezaje kuwazidi hao ma boss wake?
Kwa sasa kuna ongezeko la 1m kwa kila mmoja hapo.

Mkuu wa Idara ana 3.5 basic take home ni around 2.8 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…