Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.

IMG_2401.jpeg
 
View attachment 3051961
Gen z haiepukiki, hii tabia ya keki ya Taifa kuliwa na wachache wakati wengi wanalalia mihogo kunasiku nchi itashindwa kutawalika
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Tulimsema humu kuwa tabasamu yake sio sawa kikazi.

Naona kawekwa pembeni kijanja.

Kila la kheri kwake kwenye majukumu yake mapya
 
Back
Top Bottom