Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

ADC si cheo mkuu ni protocol tu so amepanda toka col to brigadier general ataweza fika juu zaidi coz anaweza vushwa to General
Nafahamu sio cheo! Mtu kuwa CDF lazima atoke kuwa Lt general(chief of staff) au Mkuu wa kamandi hususani jeshi la ardhini ambaye lazima awe(Major general) au msaidiz wake ambaye lazima awe(Bri general) au Mkuu wa operation na mafunzo jeshini ambaye lazima awe(Major general)
au msaidiz wake ambaye lazma awe ( Br general)

Note;Huwez ukawa CDF hujawahi kusimamia au kukaimu kamandi yoyote
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Ndiyo anaandaliwa nini kuwa CDF? Kuna siku aligusia mwanamke kuwa CDF
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Atakosa maposho ya matripu lukuki ya mheshimiwa mama....

Msoja atakuwa kasikitika sana kupanda cheo
 
Back
Top Bottom