Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Mama anaendelea kupanga safu upya, amechoka kubambikiwa watu 'asowajua' vema.Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Vv