Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Hivi huwa wanapandishwa vyeo ata kwa kusimama nyuma ya mtu kama Nyamburi alivyokuwa akifanya!! Mbona inashangaza sana.
Atarudishwa ofisini kuendelea na majukumu mengine akiwa amepanda cheo kwa kubeba mkoba na kusimama nyuma ya kiongozi wa juu wa Nchi.
HONGERA YAKE.
 
Panga pangua kusafisha (purge)

Operesheni Usafi wa kisiasa ni nini (purge)?
Katika historia, taasisi, dini na sayansi ya kisiasa, utakaso ni kuondolewa au kuhamishwa kwa watu ambao wanachukuliwa kuwa wasiohitajika na wale walio na mamlaka kutoka kwa serikali, shirika lingine, viongozi wao wa timu, au jamii kwa ujumla. Kikundi kinachofanya juhudi kama hii kinaitwa timu safisha.
 
Hivi huwa wanapandishwa vyeo ata kwa kusimama nyuma ya mtu kama Nyamburi alivyokuwa akifanya!! Mbona inashangaza sana.
Atarudishwa ofisini kuendelea na majukumu mengine akiwa amepanda cheo kwa kubeba mkoba na kusimama nyuma ya kiongozi wa juu wa Nchi.
HONGERA YAKE.
Unajua kinachokuwa ndani ya mkoba anabeba?

Maraisi wa marekani na urusi mfano wana wavebands mkoba huo mkoba una kidude ambacho kina password nchi ikiwa vitani akibonyeza anawasha bomu la nyukilia au akibonyeza anatoa amri nchini iingie vitani taarifa zinaenda kwa wakuu wote wa ulinzi na usalama

Kabeba siri za nchi wewe unasema kabeba mkoba .Unadhani anabeza mkoba wa vipodozi ule?
 
Unajua kinachokuwa ndani ya mkoba anabeba?

Maraisi wa marekani na urusi mfano wana wavebands mkoba huo mkoba una kidude ambacho kina password nchi ikiwa vitani akibonyeza anawasha bomu la nyukilia au akibonyeza anatoa amri nchini iingie vitani taarifa zinaenda kwa wakuu wote wa ulinzi na usalama

Kabeba siri za nchi wewe unasema kabeba mkoba .Unadhani wa vipodozi ule?
Hahahaha wavebands
Password
Nyuklia
Vitani

Vyote hivyo vinatokea kwenye mkoba
 
Hahahaha wavebands
Password
Nyuklia
Vitani

Vyote hivyo vinatokea kwenye mkoba
Yes nchi imevamiwa ghafla haiwezekani Amiri jeshi asubiri hadi aitishe kikao cha kujadili yuko safarini ndani au nje ya nchi anabonyeza tu go ahead ingieni vitani
 
Hahahaha wavebands
Password
Nyuklia
Vitani

Vyote hivyo vinatokea kwenye mkoba
Mikoba ya viongozi hasa maraisi ina siri ndio maana hata wachawi hujua hilo utasikia yule ndie kakabidhiwa mikoba ya babu yake au bibi nk

Ndio maana mshika mkoba wa Raisi sio mtu mdogo na kabla kupewa hiyo nafasi Vetting kubwa mno hufanyika ndani ya Jeshi alimo na nje ya jeshi kama anastastahili
 
Kazi inaendelea
1721933588491.jpg
 
Back
Top Bottom