Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Panga pangua kusafisha (purge) inaendelea kwa waliokuwa wafanyakazi wa karibu wa Rais Ikulu mfano kina Petro Magoti, Zuhura Yunus, Felister Mdemu, Nehemia Mandia...
Wabongo kwa ujuaji ujuaji tu. Speculation kibao. Ndo maana nampenda maza anawapotezea na kuwachinjilia baharini.
 
Mleta mada kasema kutokana na taratibu za kijeshi, cheo chake cha sasa hatakiwi kuwa mpambe badala atabadilishiwa majukumu.
Na mimi ndivyo nilivyomwelewa mleta uzi. Kwenye comment yangu nimekujibu wewe kuwa afande hajawekwa pembeni bali ameboreshewa maslahi.

Nimesema hivyo kulingana na jinsi nilivyomwelewa. Nilivyoelewa comment yako ni kuwa afande kaadhibiwa, ila mimi naona hiyo siyo adhabu bali ni pongezi. Amekuwa promoted!

Nipo sahihi mkuu?
 
Achana na Promoted(Cheo)

Maslahi ni nini?

Unaweza ukawa na Cheo ila ukawa huna marupu rupu.

Anayesafiri sana na anayekaa nyumbani, nani anavuta maokoto sana.

Ebu piga hesabu tangu ashike huo wadhifa, katembea mara ngapi ng'ambo ambapo kila safari ina maokoto tofauti na salary.

Karibu na Mama bado nafasi nzuri hata uwe na cheo kidogo
 
Nikilijibu hili naweza nikaishia kudanganya!
1. Sijawahi kuwa sajenti sembuse brigedia Jenerali!
2. Sijawahi kusalimiana na Rais sembuse kusafiri naye!
 
Nikilijibu hili naweza nikaishia kudanganya!
1. Sijawahi kuwa sajenti sembuse brigedia Jenerali!
2. Sijawahi kusalimiana na Rais sembuse kusafiri naye!
Basi jua kuwa, anayesafiri anapata hela nyingi za safari tofauti na ambaye yupo nyumbani.

Kusafiri kwenyewe mikoani hapa nchini anapata hela, sembuse aende ughaibuni na mama
 
Then
IMG_2403.jpeg

Now
IMG_2402.jpeg
 
ADC si cheo mkuu ni protocol tu so amepanda toka col to brigadier general ataweza fika juu zaidi coz anaweza vushwa to General
Inatokana na maneno ya kifaransa AIDE DE CAMP, wakati wa Nyerere walikuwa ni Polisi.
Sio cheo, sio kk.mpambe tu wa Rais na sio ,body guard o body
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.

Is that within the acceptable procedure...KANALI TO BRIGADIER GENERAL au ni kuvunja ,kanuni , sheria , taratibu kama alivyozoea
 
mtoto wakike kumfanyisha kazi ile muda mrefu ni kama adhabu kaamua ampe pumziko na kumpa bingo la moja kwa moja.
 
Nafahamu sio cheo! Mtu kuwa CDF lazima atoke kuwa Lt general(chief of staff) au Mkuu wa kamandi hususani jeshi la ardhini ambaye lazima awe(Major general) au msaidiz wake ambaye lazima awe(Bri general) au Mkuu wa operation na mafunzo jeshini ambaye lazima awe(Major general)
au msaidiz wake ambaye lazma awe ( Br general)

Note;Huwez ukawa CDF hujawahi kusimamia au kukaimu kamandi yoyote
Noted 10
 
Back
Top Bottom