Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Ni mtu wa wapi huyu mwanamke?
 
Chaaaap, tunaleta ADC Mwana Mama kutoka Zenj
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Mama Samia kila alnayemzunguka anamtafutia namna ya kumuondoa. kudadeki
 
Back
Top Bottom