Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

Tulimsema humu kuwa tabasamu yake sio sawa kikazi.

Naona kawekwa pembeni kijanja.

Kila la kheri kwake kwenye majukumu yake mapya
Yule sio mlinzi wewe.Usichanganye

Pili yule yuko jeshini stahiki zaje zote hulipwa na Jeshi na mojawapo ya stahiki zake ni kupanda vyeo jeshini .Vinginevyo ingekuwa uonezi kuwa ukiwa ADC wa Raisi vyeo havipandi

Muda wake wa kupanda Ukifika Jeshi linampanfosha cheo na hicho cheo sababu ni kikubwa .Jeshi hutoa mapendekezo kwa Raisi apandishwe
 
Mama anaendelea kupanga safu upya, amechoka kubambikiwa watu 'asowajua' vema.

Vv
Labda na mimi mzee wa zamani nitakumbukwa hata kupewa kazi ya kusogeza mafaili mezani !

Watu wema na wazalendo kama mimi haikufaa kutupwa jalalani hata kama wakati mwingine tulikuwa tunakosoa kwa nia njema ya kurudishana kwenye msitari 😅🙏🙏

Au nasema uongo nduguzanguni ???!
Malipo ni hapa hapa Duniani !

Ngoja tuwaone walionitupa jalalani
Hows their fate gonna be 🙏🙏🙏🙌👍
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.

Ndiyo kilichobaki!
 
Perdiem za ng'ambo hata hicho cheo ni cha mtoto, uzuri Mama anapenda kukwea mwewe
Ulitaka aendelee kuwa ADC mpka lini? Mbona hata magu alimpandisha cheo yule aliye kuwa ADC wake na hatimaye akawekwa ADC mwingine.

Ni vigumu ADC abakie yule yule kwa vipindi vyote viwili vya urais..maana wanahitaji kupanda vyeo pia
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.

Soma comment yangu sijazungumza habari ya cheo na majibu yangu sija google bosi wangu
Unapenda ku goggle ,kwahiyo unafikiri kuwa kila mtu ana goggle, mimi bichwa langu Lina ma content kibao, mimi ni academician.
Nahisi wewe uli gogglee ili kujiridhisha, kifupi ADC ni mpambe na sio cheo Cha kijeshi.
 
Ma
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.

Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.

Mama kachafukwa sana , sijui nini kipo jikoni
 
Unapenda ku goggle ,kwahiyo unafikiri kuwa kila mtu ana goggle, mimi bichwa langu Lina ma content kibao, mimi ni academician.
Nahisi wewe uli gogglee ili kujiridhisha, kifupi ADC ni mpambe na sio cheo Cha kijeshi.
Nilikwambia soma comment yangu sikusema ADC ni cheo ni protocol tu take note wewe ni academician Mimi mkulima ila bila bila njoo na hoja nyingine hapa utachemka
 
Back
Top Bottom