Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Gen z haiepukiki, hii tabia ya keki ya Taifa kuliwa na wachache wakati wengi wanalalia mihogo kunasiku nchi itashindwa kutawalikaAmiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Ukioma hivyo kuna sehemu anataka amuweke kamwaminiAmiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI...
Huwez kutoka ADC ukawa CDFCDF mpya anakuja
Tulimsema humu kuwa tabasamu yake sio sawa kikazi.Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Ndio maana kampandisha cheo ili akidhi vigezoHuwez kutoka ADC ukawa CDF
Acheni utani.Ndio maana kampandisha cheo ili akidhi vigezo
Umeshindwa kufungua code hapo
CDF Mwanamke yuko njian aises😀😀
Ila kala shavu kubwa sana brigedia general ni cheo kikubwa sana jeshiniTulimsema humu kuwa tabasamu yake sio sawa kikazi.
Naona kawekwa pembeni kijanja.
Kila la kheri kwake kwenye majukumu yake mapya
Kila la herikwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
Perdiem za ng'ambo hata hicho cheo ni cha mtoto, uzuri Mama anapenda kukwea mweweIla kala shavu kubwa sana brigedia general ni cheo kikubwa sana jeshini