Ila nafasi ya mpambe wa rais ni nyeti sana na ina maokotoIla kala shavu kubwa sana brigedia general ni cheo kikubwa sana jeshini
Panga pangua kusafisha (purge)
Unajua kinachokuwa ndani ya mkoba anabeba?Hivi huwa wanapandishwa vyeo ata kwa kusimama nyuma ya mtu kama Nyamburi alivyokuwa akifanya!! Mbona inashangaza sana.
Atarudishwa ofisini kuendelea na majukumu mengine akiwa amepanda cheo kwa kubeba mkoba na kusimama nyuma ya kiongozi wa juu wa Nchi.
HONGERA YAKE.
Hahahaha wavebandsUnajua kinachokuwa ndani ya mkoba anabeba?
Maraisi wa marekani na urusi mfano wana wavebands mkoba huo mkoba una kidude ambacho kina password nchi ikiwa vitani akibonyeza anawasha bomu la nyukilia au akibonyeza anatoa amri nchini iingie vitani taarifa zinaenda kwa wakuu wote wa ulinzi na usalama
Kabeba siri za nchi wewe unasema kabeba mkoba .Unadhani wa vipodozi ule?
Yes nchi imevamiwa ghafla haiwezekani Amiri jeshi asubiri hadi aitishe kikao cha kujadili yuko safarini ndani au nje ya nchi anabonyeza tu go ahead ingieni vitaniHahahaha wavebands
Password
Nyuklia
Vitani
Vyote hivyo vinatokea kwenye mkoba
Mikoba ya viongozi hasa maraisi ina siri ndio maana hata wachawi hujua hilo utasikia yule ndie kakabidhiwa mikoba ya babu yake au bibi nkHahahaha wavebands
Password
Nyuklia
Vitani
Vyote hivyo vinatokea kwenye mkoba
Safari ni hatua...Leo brigedia jenerali kesho meja jenerali then what?Huwez kutoka ADC ukawa CDF
Ni utaratibu wa Kijeshi na umri pia ya kumudu hekaheka za ADC (Aide De Camp) yaani mlinzi na mpambe wa Rais mwenye uniform.Huwez kutoka ADC ukawa CDF
Tena utani wa ngumu...Yani mwanamke awe CDF?? HaiwezekaniAcheni utani.
Kaka ngoja uone πππ....Tena utani wa ngumu...Yani mwanamke awe CDF?? Haiwezekani
Strategic removal of her!!Ukioma hivyo kuna sehemu anataka amuweke kamwamini